warumi HONGERA SIKU HIZI NAONA UMEOKOKA? YULE ULIYEMROGA KATOKA JELA?Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii
Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha
Anaendeleaje??Sasa hivi atakua na 41 years.
Kumbe Ni millen ??our millen[emoji7] now yuko ok, nahisi hicho kipindi alikua anaumwa
Alipona. Anaishi Marekani.Anaendeleaje??
ndioKumbe Ni millen ??
Kila kitu hakiwezi kuwa mipango ya mungu.Fikiria upande wa pili.Hapa umekufuru kila jambo nimipango ya mungu kuwa star ndiyo kupata mtoto hili nifundisho Kwa kila binadamu