Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

Wakati masikini anawaza pesa, tajiri anawaza magonjwa yanayo mkabili. Hiyo yote ni mipango ya Mungu. Kama binadamu lazima kuna kitu kitakuwa kinakusumbua tu japo hata kama ni kidogo
Ndo hapo nawaza hilo gonjwa limpate kapuku kama mimi sijui unaishije sasa.
 
kabisa mkuu hatujuitu sa nyingine kuwa Mung kwetu sisi ni kimbilio na msaada uonekanao wakati wa mateso.Kuna siku nilivisit page yake insta nikamwambi habar za Yesu na nguvu ya maombez aliisoma na nikashukuru kaiona lakin jibu alilonipa liliniuma sana nikajiuliza hapo si tusi ingekua tusi je ?niliishia kuomba msamaha maana some of her followers walinchamba pia.Kweli pesa ni shina la uovu.Mungu wa mbinguni amponye ili ajitwalie utukufu.Amen.
PESA SIO SHINA LA MAOVU. ..HAPANA KABISA. ..NI MTU MWENYEWE TU. .NDUGU YANGU
 
Pole sana mrembo. .Happiness Magesa
 
Kama amepona ni vizuri ila,imenishtua kidogo hii story na nilipoangalia nimegundua kuwa ilikuwa ni 2014.
 
Happiness is a strong and bold woman. The kind of women we need today to guide the younger women.

She is not ashamed of her condition. She is showing it to the world and enlightening her fellow women on what she is going through so women can seek treatment as soon as they can.

May God grant her ease.
Amen
 
Umeongea point sana mkuu, mda mwingine mungu anatupa mitihani mizito ili tumjue yeye ni nani, magese kasema kazunguka hospitali zote duniani kutibiwa ila hakufanikiwa ila sijasikia akisema alienda kwa mchungaji flani kufanyiwa maombi,amesahau kuwa mungu hashindwi na kitu na kamwe hawezi kushindwa kama ukimtafuta kwa bidii

Ndo ajue na ajifunze kuwa pesa sio kila kitu duniani, angempa nafasi mungu katika maisha yake aone kama atashindwa, Mungu sio mganga kusema anabahatisha

ulitaka nalo hili akuambie?? wewe nani?
 
Hivi hizi habari mnazipataga wapi mbona mnapenda kutunga story Kwa kuunganisha inganisha picha
 
Dada wa watu Ni mzima wa Afya Na anawashangaaa hiyo picha Ni ya Mwaka uliopita alipo fanyiwa operation Ambapo Ni kawaida ukitoka Kwenye operation ya kizazi lazima uvae hiyo acheni uzushi dhambi Kwa Mungu
 
Dada wa watu Ni mzima wa Afya Na anawashangaaa hiyo picha Ni ya Mwaka uliopita alipo fanyiwa operation Ambapo Ni kawaida ukitoka Kwenye operation ya kizazi lazima uvae hiyo acheni uzushi dhambi Kwa Mungu
Usikurupuke kushambulia watu hata wewe pia umekosea kucomment kwa pupa hapa bila kuangalia kwamba huu uzi ni wa 2014
 
Back
Top Bottom