Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Ndo hapo nawaza hilo gonjwa limpate kapuku kama mimi sijui unaishije sasa.Wakati masikini anawaza pesa, tajiri anawaza magonjwa yanayo mkabili. Hiyo yote ni mipango ya Mungu. Kama binadamu lazima kuna kitu kitakuwa kinakusumbua tu japo hata kama ni kidogo