MfanyakaziHewa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 244
- 777
Ngoma asubuhi hii hii.
Ila Hizo ni hasira tu,
japo inaonesha huyo demu hakuwahi kukupenda braza.
Ila Hizo ni hasira tu,
japo inaonesha huyo demu hakuwahi kukupenda braza.
Basi niamini;Sina kitu
Mwamba anaumia kinyaaaaama sasa aje ajichanganye amtafute huyo ke bila kumove on aone balaa lake.Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa.
Huyu mwamba kazingua.Unaonekana kabisa wewe ndio unateseka na soon utaanza kuomba msamaha.
Mdhaifu sana anajitutumua tu.Huyu mwamba kazingua.
Nitumie pia mkuu nimpe pole huyo dada asije akajidhuru.Tayar angalia
Kwa ufupi amekurupuka kwenye hiliMdhaifu sana anajitutumua tu.
Vina muda basi [emoji2][emoji2] siku akishikwa na upwiru afu connections zote zikagoma atarudi tu..Mtarudiana tu
The guy is too weak yaani ni weakest link [emoji2767] to the womenHuyu mwamba kazingua.
Nyie Bado sana.Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Kwahiyo ushaachana na wengi?Sinaga Tabia ya kurudia matapishi