Mno mwanamke haachwi hivyoThe guy is too weak yaani ni weakest link [emoji2767] to the women
Teh teh teh 😃 😃 umebwaga manyanga...Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Age?Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Nipe namba yake nikazibe gapMchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Mmeachana kweli,naona kama roho Yako inakuuma Bado!Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Mleta mada anaumia sana!Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa.
AsingedharauliwaUna PESA?
Tuanzie hapo kwanza
Jf ni dampo la moyo kutema nyongoHivi JF ndio kuja kumaliza machungu yenu
wew na huyo mwenzako wote wahalifu tu, watu mnaachanaje ivyo kirahis rahisi tu na maisha mema bado mnatakiana.Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170
Umefunga "PM" Mkuu..Sinaga Tabia ya kurudia matapishi
Pole sana mkuu, hapo ukae hata siku 2 uanze kutafuta mwingineMchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu.
Sasa imetosha.View attachment 3277170