slaa atajihukumu mwenyewe; anajua alichokifanya adhabu ataipata kwa Mungu; NRA inawezekana wapo sahihi inategemea unaingalia kesi yao kutokea upande gani.Maoni yako kwenye hii issue ya Mwangosi hayana tofauti sana na NRA! blames anything but sio guns! Na hapa kila kitu ni Dr Slaa! Sasa kwanini wamempeleka mahakamani polisi? Mwangosi ni 'victim' mmoja, hao wengine vipi?
slaa ni muaji tu huna la kuniambia yeye ndiye aliyeshinikiza wanachadema kuvunja amani; polisi walikwenda pale kulinda amani; polisi walitekeleza majukumu yao kikazi. Wafuasi wenu ndio waliokaidi amri halali ya kuvunja mkutano ule kwa maelekezo MAALUM ya slaaAma kweli we Chama noma! Kama Dr Slaa ni muuaji no 1 kwa nin hajakamatwa au serikal inamwogopa? Acha kutetea uovu wa polisi kutoa roho za watu wasio na hatia.
Endelea kumtetea mauji; yeye ndiye aliyeshinikiza kuvunja amri halali
Chama
Gongo la mboto DSM
Sasa nyie wenye serikali si mumkamate? Wewe ndio unasibitisha kuwa liserikali lenu ni DHAIFU. Mtu yupo nje tunamuona kila siku mnashindwa kumkamata?
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
slaa anamiliki mke wa mtu sitashangaa kumiliki smg; ila yeye ndiye muaji wa MwangosiSasa nyie ndio mmeshika dola simumkamate?yaani ccm! Na kumbe dr sikuhizi anamiliki smg! Kweli ukiwa ccm ubongo unabakia tupu kabisa
Kwanini Kikwete hakwenda msibani?
Alikwenda yule muaji kwenda kutafuta picha za magazeti; kama msiba ulimgusa mbona hakwenda kwenye 40?Kwanini Kikwete hakwenda msibani?
Angeuawawa mama yako au baba yako ungeleta shobo?Usiendelee kutia petrol kwenye moto unaowawakia wafiwa! MMungu atakulipa sawa sawa na maneno yako, kila mwenye mwili aseme, >AMINA!slaa anamiliki mke wa mtu sitashangaa kumiliki smg; ila yeye ndiye muaji wa MwangosiChamaGongo la mboto DSMSent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sasa wanatafuta ushahidi gani majangili hawa wakati wahusika wanaonekana. Mungu tunusuru na janga hili hakika tumeuweka uongozi madarakani ambao unawaangamiza raia wema.
Alikwenda yule muaji kwenda kutafuta picha za magazeti; kama msiba ulimgusa mbona hakwenda kwenye 40?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums