Itakuwaje bahati mbaya wakati amemuelekezea bunduki(aim) na akiwa ameshika tiger? Mwangosi alikuwa kadhibitiwa na askari zaidi ya watano, hana silaha(kashika kamera) amelala chini na askari wanampiga na marungu. Hiyo bunduki ya kulipua bomu la machozi ilikuwa inaelekezwa tumboni kwa kwa madhumuni gani?Askari aliyeishika hakuwa amezongwa kiasi cha bunduku kulipuka yenyewe ambapo hiyo ndiyo tungeita bahati mbaya. Angalia vizuri hiyo picha uone jinsi mfyatuaji alivyokaa na kidole cha kufyatulia kikiwa kwenye kifyatulio(triger). Unashangaza unaposema 'limefyatuka kwa bahati mbaya likajeruhi marehemu" Hivi alijeruhiwa au aliuawa?Nafikiri hiyo ilikuwa bahati mbaya, kwasababu ninavyoone imetokea, hiyo bunduki kwanza si ya risasi, ni ya mabomu ya machozi kwa wale wanaofahamu bunduki watakubaliana na mimi...
Hilo bomu la machozi wakati mwingine huwa linalipuka vibaya, na nionavyo mwili wa marehemu hapo umesambaratishwa kama na utumbo unaonekana na kuna askari mmoja kwenye hizo picha amedondoka chini kama askari wenzie wanamsaidia vile...
Hebu angalia vizuri..inaonyesha ni kama hapo ilo bomu limefyatuka kwa bahati mbaya likajeruhi marehemu na askari....ni maoni tu lakini....na hawa polisi wetu ambao wametoka depo juzi tu hawa hawajui hata madhara ya hizi vitu.
- Lakini Channel 10 si walikataa kwamba hakuwa mwandishi wao au walibadilisha tena kauli yao kwa public?
le mutuz
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
![]()
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
![]()
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
![]()
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
Angeuawawa mama yako au baba yako ungeleta shobo?Usiendelee kutia petrol kwenye moto unaowawakia wafiwa! MMungu atakulipa sawa sawa na maneno yako, kila mwenye mwili aseme, >AMINA!
Ww ni mchumia tumbo na kiukweli haustahili kuwa mtanzania kwa kushabikia mambo ya kipuuzi,na id yako ya chama gongo la mboto watz wakikufahamu utajua kuwa hatutaki utani kwenye haki ya kuishi watz pamoja na haki zingine za kunufaika na raslimali zetu.Mda wenu wasaliti umebaki kiduchu mtaona kitakachowatokea.
Mimi nimemaliza kwa KUMSHITAKIA MMungu aliye Hakimu wa Haki! Na aliyepanga kitendo hicho na mtekekelezaji na pamoja anashabikia na kufurahia; Basi Mungu wa Haki na Amfishe Kifo kibaya cha aibu, na watoto wake wawe mayatima, Mkewe awe mjane! Wakose msaada wanapo Ingia na kutoka! Sema, Amina!Moja ya majukumu ya mod ni kumlinda slaa sasa kama unataka majibu muombe Mod ruhusa nikupe majibu yakoChamaGongo la mboto DSM
![]()
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
![]()
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
![]()
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
maajabu haya ya kuwaacha huru watu walioshiriki kumuua Mwangosi,hayana tofauti na yale ya kumuacha mtu anaeficha CD ya wauaji wakati angeitoa mbele ya polisi kila kitu kingekuwa hadharaniWana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
![]()
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
![]()
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
![]()
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
Mimi nimemaliza kwa KUMSHITAKIA MMungu aliye Hakimu wa Haki! Na aliyepanga kitendo hicho na mtekekelezaji na pamoja anashabikia na kufurahia; Basi Mungu wa Haki na Amfishe Kifo kibaya cha aibu, na watoto wake wawe mayatima, Mkewe awe mjane! Wakose msaada wanapo Ingia na kutoka! Sema, Amina!
wewe sema AMINA! Kama kuna MMungu mtu unamjua wewe! Endelea na kufuru zako, mimi sipo kwenye ushabiki na mashara! Nimemkusudia MMungu kwa kufunga na kusali! Na Ile Damu ya Mwangosi inalia kisasi! Mungu ATAJIBU punde!Mungu yupi? Maana Chadema kuna mungu mtu hebu funguka!ChamaGongo la mboto DSM
wewe sema AMINA! Kama kuna MMungu mtu unamjua wewe! Endelea na kufuru zako, mimi sipo kwenye ushabiki na mashara! Nimemkusudia MMungu kwa kufunga na kusali! Na Ile Damu ya Mwangosi inalia kisasi! Mungu ATAJIBU punde!
Eeh Mwenyezi Mungu ni wewe Hakimu wa Haki Tunayekukimbilia Hukumu yako Idhihirike kwa kila aliye husika ktk KIFO cha ndugu yetu Mwangosi!"Mezani pao pawe mtego; Wakijiona wapo salama na iwe mtego; Naam wakijiona salama Iwe Tanzi.Macho yao yatiwe giza wasione na viuno vyao uvitetemeshe hadi umauti uwafikie.Mungu uimwage ghadhabu yako juu yao wote na kizazi chao. Na wakutane na Ukali wa hasira yako.Matuo na Makazi yao yawe mahame na ukiwa. Pasiwe mtu wa kukaa kwenye Makazi yao"sema AMINA!Mungu hamlipi mtu kisasi na kama ikiwa hivyo basi Mungu atamlipa yule aliyeshinikiza kufungua tawi ambalo halina hata wanachama 20 na isitoshe lilishafunguliwa rasmi na kamanda Nyimbo!ChamaGongo la mboto DSM
Eeh Mwenyezi Mungu ni wewe Hakimu wa Haki Tunayekukimbilia Hukumu yako Idhihirike kwa kila aliye husika ktk KIFO cha ndugu yetu Mwangosi!"Mezani pao pawe mtego; Wakijiona wapo salama na iwe mtego; Naam wakijiona salama Iwe Tanzi.Macho yao yatiwe giza wasione na viuno vyao uvitetemeshe hadi umauti uwafikie.Mungu uimwage ghadhabu yako juu yao wote na kizazi chao. Na wakutane na Ukali wa hasira yako.Matuo na Makazi yao yawe mahame na ukiwa. Pasiwe mtu wa kukaa kwenye Makazi yao"sema AMINA!
Mimi ni chizi UBARIKIWE Mkuu wangu! Si umeshiba kiburi cha uzima?Acha uchizi!! Tafuta matibabuChamaGongo la mboto DSM
Kufungua tawi kunahitaji wanchama wangapi?Mungu hamlipi mtu kisasi na kama ikiwa hivyo basi Mungu atamlipa yule aliyeshinikiza kufungua tawi ambalo halina hata wanachama 20 na isitoshe lilishafunguliwa rasmi na kamanda Nyimbo!
Chama
Gongo la mboto DSM