PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Lakini hii kesi si iko mahakamani au ? kama iko mahakamani basi sisi humu hatuhitaaji tunataka issue mpya ili tuweze kufahamu mambo mengi bhana kama kwa ajili ya reference sawa lakini kujadili tutaonekana tumeishiwa mada.
 
Itakuwaje bahati mbaya wakati amemuelekezea bunduki(aim) na akiwa ameshika tiger? Mwangosi alikuwa kadhibitiwa na askari zaidi ya watano, hana silaha(kashika kamera) amelala chini na askari wanampiga na marungu. Hiyo bunduki ya kulipua bomu la machozi ilikuwa inaelekezwa tumboni kwa kwa madhumuni gani?Askari aliyeishika hakuwa amezongwa kiasi cha bunduku kulipuka yenyewe ambapo hiyo ndiyo tungeita bahati mbaya. Angalia vizuri hiyo picha uone jinsi mfyatuaji alivyokaa na kidole cha kufyatulia kikiwa kwenye kifyatulio(triger). Unashangaza unaposema 'limefyatuka kwa bahati mbaya likajeruhi marehemu" Hivi alijeruhiwa au aliuawa?
 
asante ccm, policcm, usalama wa ccm n.k kitaeleweka tu siku moja
 
- Lakini Channel 10 si walikataa kwamba hakuwa mwandishi wao au walibadilisha tena kauli yao kwa public?

le mutuz

Kweli ukubwa wa mwili sio akili sasa hata kama hakuwa muandishi wa Chanel 10 je unaweza justify alistahili kuuliwa namna hiyo?
 

Nao walitumwa na Lwakatare?
 
Angeuawawa mama yako au baba yako ungeleta shobo?Usiendelee kutia petrol kwenye moto unaowawakia wafiwa! MMungu atakulipa sawa sawa na maneno yako, kila mwenye mwili aseme, >AMINA!

Moja ya majukumu ya mod ni kumlinda slaa sasa kama unataka majibu muombe Mod ruhusa nikupe majibu yako

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

maneno ya vichaa tu haya watanzania wapo poa na wanaendelea na shughuli za maisha bila ya wasiwasi wowote; hata pesa za ruzuku zinazoliwa Chadema ni sehemu ya rasilimali ya taifa ungeanza kulinda zile.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Moja ya majukumu ya mod ni kumlinda slaa sasa kama unataka majibu muombe Mod ruhusa nikupe majibu yakoChamaGongo la mboto DSM
Mimi nimemaliza kwa KUMSHITAKIA MMungu aliye Hakimu wa Haki! Na aliyepanga kitendo hicho na mtekekelezaji na pamoja anashabikia na kufurahia; Basi Mungu wa Haki na Amfishe Kifo kibaya cha aibu, na watoto wake wawe mayatima, Mkewe awe mjane! Wakose msaada wanapo Ingia na kutoka! Sema, Amina!
 
Last edited by a moderator:


nimekaa nikatafakari nikaishia kujiuliza hivi hawa nao walitumwa na Lwakatare? hapo kwenye blue inabeba ujumbe mzito sana ambao tumeshindwa kuuzingatia mpaka limekuja kutokea lingine la kutokea. watanzania na wanahabari tusiposimama imara tutaendelea kuchinjwa kama kuku.
 
maajabu haya ya kuwaacha huru watu walioshiriki kumuua Mwangosi,hayana tofauti na yale ya kumuacha mtu anaeficha CD ya wauaji wakati angeitoa mbele ya polisi kila kitu kingekuwa hadharani
 

Mungu yupi? Maana Chadema kuna mungu mtu hebu funguka!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mungu yupi? Maana Chadema kuna mungu mtu hebu funguka!ChamaGongo la mboto DSM
wewe sema AMINA! Kama kuna MMungu mtu unamjua wewe! Endelea na kufuru zako, mimi sipo kwenye ushabiki na mashara! Nimemkusudia MMungu kwa kufunga na kusali! Na Ile Damu ya Mwangosi inalia kisasi! Mungu ATAJIBU punde!
 
wewe sema AMINA! Kama kuna MMungu mtu unamjua wewe! Endelea na kufuru zako, mimi sipo kwenye ushabiki na mashara! Nimemkusudia MMungu kwa kufunga na kusali! Na Ile Damu ya Mwangosi inalia kisasi! Mungu ATAJIBU punde!

Mungu hamlipi mtu kisasi na kama ikiwa hivyo basi Mungu atamlipa yule aliyeshinikiza kufungua tawi ambalo halina hata wanachama 20 na isitoshe lilishafunguliwa rasmi na kamanda Nyimbo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mungu hamlipi mtu kisasi na kama ikiwa hivyo basi Mungu atamlipa yule aliyeshinikiza kufungua tawi ambalo halina hata wanachama 20 na isitoshe lilishafunguliwa rasmi na kamanda Nyimbo!ChamaGongo la mboto DSM
Eeh Mwenyezi Mungu ni wewe Hakimu wa Haki Tunayekukimbilia Hukumu yako Idhihirike kwa kila aliye husika ktk KIFO cha ndugu yetu Mwangosi!"Mezani pao pawe mtego; Wakijiona wapo salama na iwe mtego; Naam wakijiona salama Iwe Tanzi.Macho yao yatiwe giza wasione na viuno vyao uvitetemeshe hadi umauti uwafikie.Mungu uimwage ghadhabu yako juu yao wote na kizazi chao. Na wakutane na Ukali wa hasira yako.Matuo na Makazi yao yawe mahame na ukiwa. Pasiwe mtu wa kukaa kwenye Makazi yao"sema AMINA!
 

Acha uchizi!! Tafuta matibabu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Waandishi wa Tanzania sio wazalendo na hawana huruma hata kidogo kwani kwa hili la mwangosi ilitakiwa wasilipoti habari yeyote ya serikali ikiwepo Rais. Lakini hawakufanya hivyo. Wengi wananjaa kali sana hilo lazima mlijue na damu ya mwangosi inawalilia sana. Yupo kanjanja mmoja pale makambako anaitwa siwale anapenda rushwa jamani
 
Mungu hamlipi mtu kisasi na kama ikiwa hivyo basi Mungu atamlipa yule aliyeshinikiza kufungua tawi ambalo halina hata wanachama 20 na isitoshe lilishafunguliwa rasmi na kamanda Nyimbo!

Chama
Gongo la mboto DSM
Kufungua tawi kunahitaji wanchama wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…