PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Inasikitisha sana! Kweli wana usalama wetu hawamuogopi hata mungu? Rpc na waziri wake wanapaswa kuwajibika na kufunguliwa mashitaka
 
Samaanini hao askari wa sisiemu walikuwa kwenye utekelezaji wa majukumu ya kichama kama kawaida yao.

Tutapata nafasi ya kuwahukumu vizuri tukiwatoa madarakani 2015.

Watanzania ni waoga hatuna amani tunadanganywa, Italipwa damu ya mwangosi Iringa semeni Amina
Kala Jeremaya

Naamini na wanaharakati wengine kibao tunasubiria kwa hamu kuwawajibisha mabaradhuri wachache wanaoiendesha hii nchi kama ni ya kwao peke yao.
 
mafanikio lazima yaje kw kuzalisha wanaharakat wengi, na bila kukataa ni wengi watamwaga damu zao, na kafara nyingi zitatolewa ikiwa ni sadaka isiyosahaulika. Leo ni Mwangos, kesho ni mimic na kesho kutw n ww. Tuelew na kujikubali. ,
 
Hii thread imenitoa machozi tena. Mchange muogope Mungu ndugu yangu! Kama umeshindwa kabisa basi kaa kimya na utafute namna nyingine iwayo ya kupata umaarufu. Picha hizi zinatisha na kuumiza sana
 

daaaah Mchange kwa mujibu wake hao ni cdm.
 
Last edited by a moderator:
Hiitabia ya kuhusicha kifo na mambo yenu inaumiza sana wanafamilia na jamii kwa ujumla. Jaribuni kutafuta umaarufu kwa siasa zenu. Acheni kuwa kumbusha watu maumivu ya kuwaulia wapendwa/wategemezi wao. Au kwenu sherehe sio
 
hapo ndipo propaganda za ccm thru Mchange ziliko ishia, nmeitazama picha kwa makini the way marehemu alivyo mkumbatia RPC, kwa kumuomba msada na yeye kupotezea! jesh la polis linmekuwa kama chama cha siasa. Serekalini Weledi ni Tatizo sugu kwa sasa.
 
Jamani kwa kwwli INASIKITISHA SANA.
Magamba hayana huruma kabisa!
 
Kitaeleweka tu. Muue ninyi mwisingizie cdm na propaganda zenu mfu! Haya masaliti sijui yanaakili ya namna gani! any way, wana bahati....front line zetu ni za kidemokrasia.
 
Hivi nyie bado mnamuona huyu MCHANGE yuko sawa?????.Huyu mchange atakuwa ameehuka ni wa kupeleka milembe akapimwe afya ya kichwa.
 
Jesus Christ!!!!!! so painful..... Revenge is inevitable just a matter of time
 
Chadema inahusika na kifo hiki.

endelea kufanya mzaha na maisha ya watu wasio na hatia, kama humjui Mungu subiri utaona siku yatakapotokea kwa ndugu yako wa karibu na wa damu ndo utajua uchungu wake unaropoka kwasabb ya buku2 au 7 hopelessss kabisa
 
Mashavu yamemtoka pale Star tv anasema CDM walivalishwa sare za Jeshi la Police? Waandishi Pendaeli na Yvona Kamuntu mnatizama na kumuacha mtu anaongea huu ushetani nanyi mkiwa waandishi wa habari kweli? Hata kama mnatumika lakn huu sio nidhamu ya kumuacha huyu kibaraka wa CCM kuzungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…