PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

...naona jamaa aliandaliwa kuchukua kila tukio, alijua nini kilikua kinaendelea... R.I.P Mwangosi, umetolewa kafara kwa maslahi ya watu.... nachukia siasa chafu....
 
unafiki wa Mchange umenikumbusha haya.
Mchange kuwahusisha CDM na kifo cha Mwangosi, anafuata nyayo za akina afande Kamuhanda na Chagonja, ambao baada ya tukio la kuuawa kwa Mwangosi, kama kawaida yao wakataka kuwahusisha CDM na kifo hicho.

Kwa bahati mbaya sana kwa policcm, hawakujua kuwa tukio lile lilikuwa recorded na kupigwa picha.

Picha hizo zilipotoka, hawakuendeleza tena propaganda zao za kuihusisha CDM na mauaji hayo, na badala wakalazimika kumburuza yule askari wa 'mask' pale kwenye mahakama ya mjini Iringa, ambapo baadaye hiyo kesi nayo ikakumbwa na 'natural death'

Sasa swali moja tu la kumuuliza huyu mamluki mkubwa Machange, kama kweli CDM wangekuwa wamehusika na kifo cha Mwangosi na namna jeshi hilo kama ambavyo paka anavyomuwinda panya, wakati huu, huyo 'muuaji' wa CDM si angekuwa tayari keshafia kwenye selo za magereza?!

Vile vile ni vyema Jeshi la polisi likatoa taarifa kwa umma, je askari yule 'mask' alishahukumiwa kwenda jela au aliachiwa huru?
 
Last edited by a moderator:
...naona jamaa aliandaliwa
kuchukua kila tukio, alijua nini kilikua kinaendelea... R.I.P Mwangosi,
umetolewa kafara kwa maslahi ya watu.... nachukia siasa
chafu....

Wewe ulitaka wasichikue ili mpotoshe umma?
 
Huyu Mchange akapimwe akili,si mzima hata kidogo.hata hawa wasaliti wenzie na ccm kwa ujumla wake,hivi hawaoni kuwa wanamtumia chizi kueneza propaganda zao na sasa anawaumbua?
 
Hivi serikali ya magamba ilitoa tamko gani katika mauaji ya mwandishi Mwangosi?
 
Ukiona gamba kaingia uzi huu na kusupport Mchange na Juliana...ujue ni upofu unao sumbua.
 
Huyu Mchange akapimwe akili,si mzima hata kidogo.hata hawa wasaliti wenzie na ccm kwa ujumla wake,hivi hawaoni kuwa wanamtumia chizi kueneza propaganda zao na sasa anawaumbua?

siku si nyingi hali hiyo itakuwadhahiri. huyu ameingiwa na pepo wa kwenye makaburi au wa mauaji
 
Ahsante sana Mkuu Mystery. Kuelekea 2015 kuna mkakati mzito sana unaofanywa na Maintarahamwe ili kuwapandisha Viongozi wa juu wa CHADEMA kizimbani hata kwa ushahidi wa kubambika ili badala ya kujishughulisha na kampeni za uchaguzi 2015 muda mwingi waupoteze polisiCCM kwa "kuhojiwa" na "MahakamaCCM" kujibu mashtaka ambayo hayana ushahidi hata chembe. Huu ndio mkakati wa Maintarahamwe. Tutaona na kusikia uzushi mwingi sana kati ya sasa na October 2015.

 
Last edited by a moderator:
hivi kesi ya yule kijana waliomtoa kafara inaendeleaje? Kamuhanda aliyeamuru mauaji na kuyashuhudia akiwa kwenye Cruza ameshafikishwa Mahakamani? Mkurugenzi wa mashtaka (Dkt. Fuleshi) aliyezuia mafaili kisa "Uchunguzi haujakamilika" kachaguliwa kuwa Mwamuzi Mkuu! Mwangosi.......R.I.P!
 

Heche ametoa tamko sahihi...kama vyombo vya dola haviwezi kutenda kazi yao, wapenda nchi waweza jichukulia atua mkononi.
 
Hivi katika hizo picha CDM wanahusikje?
Mchange anajua alichotumwa.
 
Hivi JK ana mtoto kweli? Unampaisha Kamuha wakati damu ya Mwangosi ipo bado miguuni mwake na ule ugali aliokula mchana haujasagika bali ulisagwa na bomu miguuni pa Kamuha!! Siamini nasema siamini. Maovu haya yoote na mtu akapaishwa sawa banaa Mwangosi mmoja ni nusu ya mbwa wa polisi. Wote hao ni nusanusa tuuu
 
Hivi huyu Mchange Na waliomtuma wana Akili kweli!

Au wanatumia advantage Wa umbumbumbu Wa watanzania walio wengi.

Naona hili ndilo tusi kubwa sana kwa watanzania kutaka kuaminishwa na huyu mjinga kwamba mwangosi aliuawa Na Chadema wakati mauaji yake yamefanywa Na Polisi mchana kweupe tena mbele ya camera!

Mungu ibariki Tanzania
 
Kwasababu aliuwawa kwa bomu ni waz alie kamua triger ni mtu mmoja tu na alie muua Mwangos ni PC PA***FICUS ambaye yuko gerezan baada ya kukujwa na hatia ya kuua na anasubir kikao cha mahakama kuu ili kusikiliza kes yake.....
 

mkuu umeeleza cha maana tatizo kubwa ni ujinga wa watz ndio wanaoutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…