PICHA: Hawa Wote Walikuwa Ni wagombea Urais na wote wametangulia mbele za Haki

Ndugu zangu Watanzania,

Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki.View attachment 3455541

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ANATOSHA
 
Na wewe ni mkazi kwenye ile nyumba masaki au unawajibika moja kwa moja ofisini kwa prince dully?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Magufuli hana cheo cha mgombea Urais, huyo alikuwa Rais wengine ndo wagombea. Kwenye protocol kinatajwa cheo/nafasi ya juu ya mwisho aliyo nayo/aliyokuwa nayo mtu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki.View attachment 3455541

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwahiyo unawaandaa watu kisaikolojia?

We bint mchawi sana 😂✔️
 
Ndugu zangu Watanzania,

Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki.View attachment 3455541

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpina alishauriwa sana lakini akademka na kiburi cha Umeatu.

Kimsingi Mpina ngazi ya Urais ni tenki la mfuta hawezi kulimudu ila kwa ubunge, uwaziri ni hazina.
 
Sasa mpina na mama mbona wote wa2 ni lavel moja tu, hivyo naye angeumudu huo urais!
 
Back
Top Bottom