PICHA: Hawa Wote Walikuwa Ni wagombea Urais na wote wametangulia mbele za Haki

ANATOSHA
 
 
Magufuli hana cheo cha mgombea Urais, huyo alikuwa Rais wengine ndo wagombea. Kwenye protocol kinatajwa cheo/nafasi ya juu ya mwisho aliyo nayo/aliyokuwa nayo mtu
 
Kwahiyo unawaandaa watu kisaikolojia?

We bint mchawi sana 😂✔️
 
Mpina alishauriwa sana lakini akademka na kiburi cha Umeatu.

Kimsingi Mpina ngazi ya Urais ni tenki la mfuta hawezi kulimudu ila kwa ubunge, uwaziri ni hazina.
 
Mpina alishauriwa sana lakini akademka na kiburi cha Umeatu.

Kimsingi Mpina ngazi ya Urais ni tenki la mfuta hawezi kulimudu ila kwa ubunge, uwaziri ni hazina.
Sasa mpina na mama mbona wote wa2 ni lavel moja tu, hivyo naye angeumudu huo urais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…