Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Sura ya kazi
Kiongozi wa nchi mzalendo hawezi kuwa na agenda za udini
Nani alikuwa mdiniKiongozi wa nchi mzalendo hawezi kuwa na agenda za udini
Swali la kijingaNani alikuwa mdini
Kwenye ikepic akiwa 32 to 40 yrs familia imeridhia wewe unaleta akiwa above 60....unadhani wanebahatisha ??
Labda watu wa Au waliingiza upigaji wakampatia kandarasi mtu wao asiye na vigezo ?Lile Sanam Aise ,
• Kichwa kama Ally happi si Ally Happi, Haland si Haland,
• Mfuko wa koti umekaa kwapani, yani hovyo hovyo
Tatizo kigwangala alitoa mfano wale wameiga.Lile Sanam Aise ,
• Kichwa kama Ally happi si Ally Happi, Haland si Haland,
• Mfuko wa koti umekaa kwapani, yani hovyo hovyo
Upuuzi tu wa viongozi wetu, kwa sababu sidhani kama lile Sanam limechongwa bila kuwepo na washiriki wa kitanzania.Labda watu wa Au waliingiza upigaji wakampatia kandarasi mtu wao asiye na vigezo ?
Ina maana hawajui sura ya mwalimu jkn .
Lile la kigwangala ndo balaa nyingine tena 😬😬, Au nyerere siyo huyu tunayemjua sisi 🤔🤔.Tatizo kigwangala alitoa mfano wale wameiga.
Endelea kupumzika kwa amani Mzee wetu. You were such a blessing to our country
Nani aliye waambia msisome mkaenda madrasa?Kiongozi wa nchi mzalendo hawezi kuwa na agenda za udini
We umenizidi elimu!?Nani aliye waambia msisome mkaenda madrasa?
Pambana na hali yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app