Picha: Hayati Julius Nyerere original

Lile Sanam Aise ,

• Kichwa kama Ally happi si Ally Happi, Haland si Haland,

• Mfuko wa koti umekaa kwapani, yani hovyo hovyo
Labda watu wa Au waliingiza upigaji wakampatia kandarasi mtu wao asiye na vigezo ?
Ina maana hawajui sura ya mwalimu jkn .
 
Labda watu wa Au waliingiza upigaji wakampatia kandarasi mtu wao asiye na vigezo ?
Ina maana hawajui sura ya mwalimu jkn .
Upuuzi tu wa viongozi wetu, kwa sababu sidhani kama lile Sanam limechongwa bila kuwepo na washiriki wa kitanzania.
 
Ila naamini mtanzania mmakonde angechonga kwa usahihi kwa 99?

Sijui ni kusudi?

Haiwezekani kudai warudie hata kama kwa gharama zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…