PICHA:Heaven on desert na boss wake

PICHA:Heaven on desert na boss wake

Hivi 'Heaven on Desert' ni ME au KE? Mbona kuna thread anachangia kama SHE nyingine kama HE? Au ni mixed gender?

Nachomsikitikia huyu dogo anadhani jf watu wote wachovu wasio na kazi na wamekuja kupiga blah blah tu,yeye hicho kibarua chake anaona ndio kila kitu na hakuna mtu anaemfikia,pole sAna kijana watu tumekaa kimya lakini mambo yetu tunajua mwenyewe
 
Jamaa kufanya kazi na Diamond unahisi yu own the world,pull up your socks
 
tunaheshimu ajira yako lakini ungeitazama mara mbili suruali yako kabla hujaiweka picha humu,we ain't no haters but it seems you are lost in the game.
 
tunaheshimu ajira yako lakini ungeitazama mara mbili suruali yako kabla hujaiweka picha humu,we ain't no haters but it seems you are lost in the game.

Teh teh teh....labda ni miguu au kiuno kimelegea ndo maana suruali imemdebweda.
 
form four failures bwana yani wana shida kwelikweli! yani hivyo visenti anavyolipwa na bwana wake anaviona vingi sana na anadhani anamzidi kila mtu humu jamvini! watu wa namna hii huku jamvini wamepotea njia. mambo hayo ungepeleka hukohuko mitandao yenu ambayo ni catch all (makokoro)
 
VOICE OF MTWARA huyu sio form four leaver..atakua la saba au form two km bosi wake...form four wanakuaga na uwezo wa kupambanua mambo
 
Last edited by a moderator:
...kuajiliwa?
cha msing?...nalizika? na masirahi?... makubwa ninayoypata ili baadae nijialil? mwenyewe..upo?

Mkuu sina tatizo na ajira yako maana hapa duniani kila mtu na riziki yake.

Hebu yasome tena hayo maneno niliyoyawekea alama ya kuuliza uone kama yako sahihi na kama sivyo basi jitahidi kuandika kwa usahihi.

Nakutakia kazi njema.
 
Naona hapa mr Domo na chakla yake wanaangalia style nzur ya kugegeduana, hakika hapa wanaangalia picha chafu ha ha ha kweli dogo unatisha unamkatia mauno domo mpaka anapagawa!

Mkuu na tuwaache walale wakicheza ngololo.
 
kwel kuna baadhi ya watu mtakufa kwa vihoro vya chuki na wivu wa kijinga..una uhakika na unayoyaongea..y hampendag mtu afanikiwe..mtu akiwa kwwnye position flan nzuri pengine kukuzid wewe..mnaanza kuongea utumbo zid.
kaz kwenu..si twakusanya hela tu.

Tuliza Domo hilo
 
cku hiz hawaruhusiwi kuajiliwa?
cha msing nalizika na masirahi makubwa ninayoypata ili baadae nijialil mwenyewe..upo?

Sasa wewe publicist wa 'selebriti' mkubwa kama Diamond na huwezi andika hata kiSwahili fasaha! Unategemea watu watakuchukuliaje 'profesheno' wakati hata vitu basic kama lugha tu tena ya taifa hujui!?
 
Back
Top Bottom