heaven on desert si shoga yako,imekuwaje leo?
hiyo ni photoshop bila chenga hata mimi nimeiona kabisa coz nafanya hayo mambo ya ku photoshop.
taamu naona wafananisha dunia na jangwaHuyu ni mwanaume.
Heaven on earth ndo mwanamke.
pantheraleo sio mimi.......
Hahaha.
Jamani.
Umeona ee, majanga.
Huyu si ndiyo yule anayekupenda, leo umemgeuzia kibao. Kwani amkufika mbali?Majanga Premier amejidhalilisha tu........
wenzake wanatafta hela ye anatafuta SIFA lol!!!!
Huyu ni mwanaume.
Heaven on earth ndo mwanamke.
Tehe tehe watu mnajua kufananisha, yaani mule mule jamaa yawezekana anatoka maeneo ya KihansiMdogo wangu, jaribu kuulizia kizazi chako kimetokana na nini. Umefanana na frog aka chura. Yawezekena jamii yako apo zamani za kale ilikuwa vyura.
Natafuta sifa siyo??wacha niziongeze hizo sifaMajanga Premier amejidhalilisha tu........
wenzake wanatafta hela ye anatafuta SIFA lol!!!!
View attachment 113477
Photo shop hiyo??na mjionee aibu wenyewe
Ilikuwa ni Diamond's interview hapo ni kabla,umeelewa sasa?siyo unajitia unajua PS wakati hujui na pengine unajua kabisa hiyo siyo PS basi tuHebu eleza mimi kwa nini sofa lipo nusu?! Limezibwaje na hayo mabox sijui nini!? Na mbahojianaje kwa kusogeleana hivyo si mtanyesheana mvua?
Mi hata sijionei aibu!!!