Picha;heaven on desert on take one

Picha;heaven on desert on take one

ULivotoa mimacho kama anatafta sindano kwenye mchanga au ulikua unajiandaa kumpaka wanj diamon
 
Mdogo wangu, jaribu kuulizia kizazi chako kimetokana na nini. Umefanana na frog aka chura. Yawezekena jamii yako apo zamani za kale ilikuwa vyura.
Tehe tehe watu mnajua kufananisha, yaani mule mule jamaa yawezekana anatoka maeneo ya Kihansi
 
Una uhakika sitafuti pesa?hiyo tafsiri kuwa natafuta sifa ni yako mwenyewe
 
Hivi kiny*ge mshindo wa Ruge umeona deal kumfanyia photoshop kuwa na wewe? Umekwisha!
 
Hebu eleza mimi kwa nini sofa lipo nusu?! Limezibwaje na hayo mabox sijui nini!? Na mbahojianaje kwa kusogeleana hivyo si mtanyesheana mvua?

Mi hata sijionei aibu!!!
Ilikuwa ni Diamond's interview hapo ni kabla,umeelewa sasa?siyo unajitia unajua PS wakati hujui na pengine unajua kabisa hiyo siyo PS basi tu
 
Back
Top Bottom