heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
- Thread starter
-
- #41
Huyu si ndiyo yule anayekupenda, leo umemgeuzia kibao. Kwani amkufika mbali?
Alaa, vitu vingine wala haihitaji kwenda darsa ili ujue kama kiko sahihi ama vipi!Ilikuwa ni Diamond's interview hapo ni kabla,umeelewa sasa?siyo unajitia unajua PS wakati hujui na pengine unajua kabisa hiyo siyo PS basi tu
hhaaa Nothing serious ananiboaga anavyotafuta umaarufu kwa nguvu ..........
Heheee yani wii umemtosa selebriti!?
hakuna umaalufu unaotafutwa mama,i live my life vile najiskia,nafanya ninachokipenda i mean cjali mnapiga kelele gani humu
..i got good job, n good life,nina shida gani?
Tehe tehe watu mnajua kufananisha, yaani mule mule jamaa yawezekana anatoka maeneo ya Kihansi
Hahahaha