Picha;heaven on desert on take one

Picha;heaven on desert on take one

Then huoni muundo wa hilo sofa kuwa ni fupi/ndivyo lilivyo?then hapo hapajazibwa,hizo ni arts pics zilizo nyuma kabisa
 
Ilikuwa ni Diamond's interview hapo ni kabla,umeelewa sasa?siyo unajitia unajua PS wakati hujui na pengine unajua kabisa hiyo siyo PS basi tu
Alaa, vitu vingine wala haihitaji kwenda darsa ili ujue kama kiko sahihi ama vipi!


Kwa hiyo wewe ni selebriti kumbe?
Kazi zako ni zipi?
 
hakuna umaalufu unaotafutwa mama,i live my life vile najiskia,nafanya ninachokipenda i mean cjali mnapiga kelele gani humu
..i got good job, n good life,nina shida gani?
 
Jaman wanaume wote wangekua na akili ndogo hiv kila siku nibgeharisha nimekaa najiuliza eti hata mtu kma huyu ana girlfriend nashindwa kuelewa kma huyo gal alizaliwa kma mim au ni mdoli..but i think ni mdoli
 
Heheee yani wii umemtosa selebriti!?

Wii huyu selebriti simuwezi nimeamua tu niwe single kwa mda.......

si unanijua wii wako

shem sosoliso nae angekuwa anatupia zake hum ndani si ingekuwa balaa.....
 
hakuna umaalufu unaotafutwa mama,i live my life vile najiskia,nafanya ninachokipenda i mean cjali mnapiga kelele gani humu
..i got good job, n good life,nina shida gani?

haya baba.......naona L na R zinakusumbuga sana.....

haya basi naomba kuuliza kusudio la kutuwekea hizo picha ni nini!!!!!!!!

Ulikuwa unataka tuseme nini hasa
 
Hivi ile picha boss wako kabong'oa jukwaani akiwa amevua suruali ni ww ulimpiga?
 
Babimbaa,I said ipo cku utahama humu.
upuuzi hatutaki...we na domo mpk msanuke!
 
Back
Top Bottom