Picha: Hii husababishwa na nini kwenye kuta za nyumba?

Suluhisho, ukarabati wa nyumba uwe wa mara kwa mara kama tunavyo fua nguo zetu na kuzivaa.
 
Hiyo hali inasababishwa na maji, kwa hii ya kwako maji yanatokana na hizi mvua,
yanatoka kwenye bati yanadondoka kwenye hizo tiles na kurukia kwenye ukuta, inaonesha hali imekuwa mbaya zaidi hiki kipindi cha mvua nyingi.

Suluhisho hapo uweke 'gata'.
 
Hiyo hali inasababishwa na maji, kwa hii ya kwako maji yanatokana na hizi mvua.
Yanatoka kwenye bati yanadondoka kwenye hizo tiles na kurukia kwenye ukuta, inaonesha hali imekuwa mbaya zaidi hiki kipindi cha mvua nyingi.

Suluhisho hapo uweke 'gata'.
Hata mi nilitaka kumshauri hivi hivi. Pia kama kuna bati upande wa pili linaloshusha maji hapo kwenye tiles ni kimeo zaidi ya maji yanayotoka kwenye bati lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…