Picha Hii Imewaliza WanaCCM Wengi Kwani Utambulisho Wowote wa Uccm Unaweza Kukuacha Ufe Bila Msaada

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na kuachwa wakijifia!
Kweli CCM imetufikisha huko? Chuki na ghadhabu zimefikia huko kwa kiwango hicho?

Jamani wanaccm "wenzangu" tutafakari jamii imetuweka katika level ipi? Tumegeuzwa kuwa katika hadhi ya Wanyama hakuna anayethamini tena utu wetu?
 
View attachment 3616375
Tena hao mbwa hata akiwa katika hali gani hakuna kuwasaidia na inabidi hata kwenye misiba tuwatenge ccm wawe wanazikana wenyewe na upinzan tuzikane wenyewe over.
 
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na kuachwa wakijifia!
Kweli CCM imetufikisha huko? Chuki na ghadhabu zimefikia huko kwa kiwango hicho?

Jamani wanaccm "wenzangu" tutafakari jamii imetuweka katika level ipi? Tumegeuzwa kuwa katika hadhi ya Wanyama hakuna anayethamini tena utu wetu?
View attachment 3616375
Hapana.
Tusibaguane kwa misingi ya kivyama wala kwa namna yoyote.
Japo kweli CCM lazima ibadilike hima.
 
Lakini nini sababu hasa wanabaguliwa? Jee hudhani kwa vile inasemekana chama chao wanacho kiunga mkono kijajihusisha na utekaji na ufiraji kwa wanao kikosoa?
 
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na kuachwa wakijifia!
Kweli CCM imetufikisha huko? Chuki na ghadhabu zimefikia huko kwa kiwango hicho?

Jamani wanaccm "wenzangu" tutafakari jamii imetuweka katika level ipi? Tumegeuzwa kuwa katika hadhi ya Wanyama hakuna anayethamini tena utu wetu?
View attachment 3616375
JPM alijitahidi kurudisha heshima ya chama ila hayupo tena.
 
Back
Top Bottom