Hivi kati ya wote waliokaa hapa ni yupi mwenye uchungu na nchi yetu na wazalendo wake? Ni vikao vingapi vya aina hiii wengi wao hapa wameshiriki kama wajumbe na si waalikwa and no impact (changes)? Mimi nafikiri kwa kuwa hakuna jema la mustakabali wa nchi yetu basi vikao hivi na vifutwe!!! Wanamaliza tu michango ya wananchi through, taxes, user fees, etc kwa ajli ya posho. We need tangible impacts jamani ambazo zita accelerate intangible impacts!!!Fed up. Ha!
wenyewe hawajui wanachokifanya, hiyo ngoma imeshawashinda hata ukiwauliza yaitwaje hawaijui jina, imebaki bora liende, sitaki kuumiza kichwa kuwawazia hao si si emu