Picha hii inatoa ujumbe Gani kwenu?

Picha hii inatoa ujumbe Gani kwenu?

8D6U2314.JPG

Nisaidieni wakuu wangu,

Hivi kati ya wote waliokaa hapa ni yupi mwenye uchungu na nchi yetu na wazalendo wake? Ni vikao vingapi vya aina hiii wengi wao hapa wameshiriki kama wajumbe na si waalikwa and no impact (changes)? Mimi nafikiri kwa kuwa hakuna jema la mustakabali wa nchi yetu basi vikao hivi na vifutwe!!! Wanamaliza tu michango ya wananchi through, taxes, user fees, etc kwa ajli ya posho. We need tangible impacts jamani ambazo zita accelerate intangible impacts!!!Fed up. Ha!
 
wenyewe hawajui wanachokifanya, hiyo ngoma imeshawashinda hata ukiwauliza yaitwaje hawaijui jina, imebaki bora liende, sitaki kuumiza kichwa kuwawazia hao si si emu
 
Mediocrity in action, nobody knows what to do to get this country out of trouble, although everybody has what to say!!
 
Ujumbe upo wazi, Viongozi wote wa serikali ya Mapinduzi Zanzaibar hawakuvaa uniform ya kijani ya ccm.

Nimesikia kuwa hao wote ambao hawakuvaa uniform kv.Mkapa,Karume na Naodha wanajiandaa kuhamia CCJ.
 
Back
Top Bottom