Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu za dhati kwa mama, mama anaupiga mwingi, tumpongeze sana mama hadi hapa tulipofikia.
 
na sasa hivi wanakwenda kuuza/ kugawa bure Air Tanzania yetu pamoja na ndege zetu tulizonunua kwa jasho letu, wameshaandaa mazingira ya hilo kutokea, kwa kifupi wanapora mali zetu …
 
na sasa hivi wanakwenda kuuza/ kugawa bure Air Tanzania yetu pamoja na ndege zetu tulizonunua kwa jasho letu, wameshaandaa mazingira ya hilo kutokea, kwa kifupi wanapora mali zetu …
Hilo si lakuuliza,,likiisha Hilo na reli nazo tunaenda kabidhi Kwa kina Ankoli Ahamedi Suluhu Hasani!!
 
Maafisa wa uvuvi wakipima samaki
 
Attachments

  • 46c138cae2-samaki-bungeni.jpg
    276.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…