Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,285
source
Unaambiwa hii ndio stage ya Fiesta Dar es salaam Jumamosi hii | TZA
Halafu mwambieni Ruge kuwa show siyo stage. Watu wanataka msanii mkubwa. Mnatumia mahela mengi kutengeneza stage ili eti apande mvuta ndumu Afande Sele. Upuuzi
msanii gani anakuja this time!!!!!!!!!!!!
Nasikia J Martin (Ili aje kuimba "Cheza cheza bila kukunja Goti"), Davido, na Mzee wa Coconut Tree.
Clouds ndo maana siwapendagi for real..
J martin kila siku yuko Tz me nilijua ni local artist.wajinga ndio waliwao keshaona chimbo tz ndio maana kila cku yuko huku.