Kwa nini Lema havai magwanda ya Chadema?Namuona wenje na boniyai ndani
Yaani body language ukimwangalia yupo.kama hayupo mwili.uko.hapo kikaoni lakini roho haipo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini Lema havai magwanda ya Chadema?Namuona wenje na boniyai ndani
Unawaza kula tuKikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili
Mbowe mbona hahudhurii vikao?Unawaza kula tu
Mbona yupo huna macho?Mbowe mbona hahudhurii vikao?
Wako vizuri sana.
Wameanza na Mungu watamaliza na Mungu
Mbowe bado anaugulia kuukosa U-sultan, akipona majeraha yake utamuona tu usihofu.Mheshimiwa Mbowe yuko wapi?
Jinga wewe!Kikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili
Uliwahi kumwona lowasa amevaa gwanda kipindi kile?Kwanini Lema havai gwanda na analipenda sana hilo shati lake jeupe, au anayo mashati mengi meupe
Good question. Tunaambiwa kwa mujiba wa katiba yeye ni mjuumbe wa kudumu.Wapi comrade Mbowe sijamuona siku nyingi on air
Wanaamini. Lakini kuna watu wanalazimisha kuonekana ni watu special, lema mmoja wao.Wale wasio na magwanda hawaamini kwenye itikadi ya ukamanda?
Uko sahihi ma wakishalipana subiri watakuja na tanko la kipuuzi utadikia kamati kuu imelaani kitendo cha Maria Sarungi kutohudhuria mazishi ya baba yakeKikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili
Sugu bado yuko majuu?Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Kikao hiki kinafanyikia Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam
Hatimaye Ezekiah Wenje katia timu. Mambo ya kususa susa yameisha.
View attachment 3266909View attachment 3266910View attachment 3266911View attachment 3266912View attachment 3266913View attachment 3266914View attachment 3266915View attachment 3266916View attachment 3266917View attachment 3266918View attachment 3266919View attachment 3266920View attachment 3266921View attachment 3266922View attachment 3266923View attachment 3266924View attachment 3266925View attachment 3266926View attachment 3266927View attachment 3266928View attachment 3266929View attachment 3266930View attachment 3266931View attachment 3266932View attachment 3266933View attachment 3266934View attachment 3266935View attachment 3266936View attachment 3266937View attachment 3266938
Hawawezi wako makini sanaUko sahihi ma wakishalipana subiri watakuja na tanko la kipuuzi utadikia kamati kuu imelaani kitendo cha Maria Sarungi kutohudhuria mazishi ya baba yake
Chama cha kijinga sana
Kamati kuu nchi hii ni moja tu ya CCM hivyo vikao vingine vya vyama vingine ninv9jiwe vya wahuni tu kula posho
Afrika masharikiNimeona bendera ya Tz, Chadema, na hiyo nyingine ni bendera ya nini??