Pre GE2025 Picha: Hii ndiyo Kamati Kuu ya CHADEMA. Kikao kinaendelea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuh, nimemwona Ezekiel Wenje bwana🤔🤔🤔

Huyu jamaa si ni rafiki na "mwandani" au "informer" wa Abdul mtoto wa Mwenyekiti wa CCM taifa, Bi Samia Suluhu Hassan...?

Kwa huyu jamaa na kwa mwenendo wake, kauli zake na matendo yake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama chao miezi miwili au mitatu iliyopita, sidhani kama CHADEMA huyu bwana ni mwenzao...

Huyu ni nyoka ndani ya chumba cha kulala...!!

Sitashangaa akifuata nyendo za Peter Msigwa kwenda anakochumia pesa za Abdul na mama Abdul a.k.a Chura Kiziwi...
 
Wapi comrade Mbowe sijamuona siku nyingi on air
Bado haamini kuwa wanachama walimpora chama ,mshtuko alionao lazima utamletea athari na haswa ukizangatia umri aliionao
 
Nje ya Mada Yule Dada wa Iringa sijamuona, Dada amenyooka sana! i really love her.
Nje ya Mada lkn.
 
Hawa wahuni eti another wanataka kuongoza nchi

USSR
 
Duuh, nimemwona Ezekiel Wenje bwana🤔🤔🤔

Huyu jamaa si ni rafiki na "mwandani" au "informer" wa Abdul mtoto wa Mwenyekiti wa CCM taifa, Bi Samia Suluhu Hassan...?

Kwa huyu jamaa na kwa mwenendo wake, kauli zake na matendo yake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama chao miezi miwili au mitatu iliyopita, sidhani kama CHADEMA huyu bwana ni mwenzao...

Huyu ni nyoka ndani ya chumba cha kulala...!!

Sitashangaa akifuata nyendo za Peter Msigwa kwenda anakochumia pesa za Abdul na mama Abdul a.k.a Chura Kiziwi...
Msigwa huko alipo anateseka tu.
 
Back
Top Bottom