Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

One love kaka mkubwa.. Tulistahili.. Maana kuna ndezi aliingia na tambara la rangi yetu lenye picha ya sukubass😭View attachment 3129962
Heshima sana kwako kaka, wewe ni mmoja wa wanajf mlionifanya niupende huu mtandaoni takribani miaka 5 au 6 iliyopita.

By the way, pole sana kwa kichapo cha leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…