wengine wametolewa Uganda na Somalia wamesombwa na malorihao watu nasikia wamekodishwa
Nabii hakubalikagi kwao... Hasa kama kwao kuna tim KibaaaWabongo tumamchukia kama nyau ila wenzetu wanampenda kama asali
Nabii hakubalikagi kwao... Hasa kama kwao kuna tim Kibaaa
Sema washabiki wa kiba mnamchukia, sisi wapenda mziki tunampenda na tunapenda wasanii wetu!Wabongo tumamchukia kama nyau ila wenzetu wanampenda kama asali
Mbona namuona huyo kama Ali Kiba, the King?Moja kati ya export yetu kubwa Mwanamuziki Diamond Plat. akiwa nchini Kenya ambako Mji ulisimama kwa ajili yake!
Muda wetu TanZania umefika sasa tunatoboa kila upande, Kiuchumi, Kisiasa, Kiafya, Kiutamaduni yaani ki kila kitu!
HAPA KAZI TU!
Mbona namuona huyo kama Ali Kiba, the King?
Baada ya wewe mwenyewe mkuu kuanza kunogewa na kukiserebuka. Baadae ndo ukagundua hukumtendea haki. big upKipindi hicho KAMWAMBIE ndo imetoka niliwahi kumfukuza dada wa kazi baada ya kumkuta yupo kwa sebule anaserebuka tu huo wimbo tena sauti ikiwa juu...huku jikoni akiwa kaacha mboga inaungua..Ila baada ya miezi kadhaa kupita nilielewa sababu..Ikabidi nimrudishe tu
MK254 Jirani karibu umkaribishe Jirani jeuri..... Ahsante kenya !!!!
@Sam99 Side by side wana wa Afrika mashariki....
Best of all the Best comments hapa JF !!! MK254 Somo lako litamfikia MTZ aweze kujithamini na kujitambua....Kawaida mtu akitia bidii huwa anakubalika, cha msingi ni kuaga uvivu na kujituma. Diamond anakubalika kote hadi Nigeria hata kama hawakijui Kiswahili. Lakini kikubwa ni jinsi Watanzania wenyewe wengi huwa hamumpendi jamaa, na ndio issue yenu kubwa, mna wivu sana na yeyote anayeonekana kutoka.
Ukienda Facebook, aisei matusi ambayo Diamond hukumbana nayo kutoka kwa Watanzania wenzake, yaani hadi unamhurumia. Wakati jamaa hajamkosea mtu, yeye anakazana tu kwenye maisha na bidii yake, huu wivu na chuki zenu ndio zimefanya hamtambuliki wala kusikika kwa chochote, hampokei mashujaa wenu vizuri. Hebu ona jinsi Kenya inavyotajwa duniani kote.
Ulilipa faini?Kipindi hicho KAMWAMBIE ndo imetoka niliwahi kumfukuza dada wa kazi baada ya kumkuta yupo kwa sebule anaselebuka tu huo wimbo tena sauti ikiwa juu...huku jikoni akiwa kaacha mboga inaungua..Ila baada ya miezi kadhaa kupita nilielewa sababu..Ikabidi nimrudishe tu
Mwenye acapela ya diamond yoyote aitupie humu tafadhali na kama hakuna mjiulize kwanini