PICHA:: Hii siyo Tanzania, ni Turkana Kenya #Simba #DiamondPlatinumz

Moja kati ya export yetu kubwa Mwanamuziki Diamond Plat. akiwa nchini Kenya ambako Mji ulisimama kwa ajili yake!

Muda wetu TanZania umefika sasa tunatoboa kila upande, Kiuchumi, Kisiasa, Kiafya, Kiutamaduni yaani ki kila kitu!

1turkana1.jpg

turkana3.jpg

HAPA KAZI TU!
 
Huyu dogo hata kama ni hiyo free...... ila amepatia.
 
Mimi sio mshabiki wa muziki wa bongo fleva kabisa, walau kwaya za Katoliki huwa zinaimba vizuri
 
Ametisha baba Tiffa hongera na aongeze juhudi zaidi na Mungu amsaidie
 
Moja kati ya export yetu kubwa Mwanamuziki Diamond Plat. akiwa nchini Kenya ambako Mji ulisimama kwa ajili yake!

Muda wetu TanZania umefika sasa tunatoboa kila upande, Kiuchumi, Kisiasa, Kiafya, Kiutamaduni yaani ki kila kitu!

1turkana1.jpg

turkana3.jpg

HAPA KAZI TU!
Mbona namuona huyo kama Ali Kiba, the King?
 
Inawezekana pia kwa maana awe Ali Kiba au Diamond au hata Hadija Kopa haijalishi cha muhimu ni MtanZania ambaye anafanya vizuri na kukubalika nchi za nje!
 
Kipindi hicho KAMWAMBIE ndo imetoka niliwahi kumfukuza dada wa kazi baada ya kumkuta yupo kwa sebule anaselebuka tu huo wimbo tena sauti ikiwa juu...huku jikoni akiwa kaacha mboga inaungua..Ila baada ya miezi kadhaa kupita nilielewa sababu..Ikabidi nimrudishe tu
 
Kipindi hicho KAMWAMBIE ndo imetoka niliwahi kumfukuza dada wa kazi baada ya kumkuta yupo kwa sebule anaserebuka tu huo wimbo tena sauti ikiwa juu...huku jikoni akiwa kaacha mboga inaungua..Ila baada ya miezi kadhaa kupita nilielewa sababu..Ikabidi nimrudishe tu
Baada ya wewe mwenyewe mkuu kuanza kunogewa na kukiserebuka. Baadae ndo ukagundua hukumtendea haki. big up
 
MK254 Jirani karibu umkaribishe Jirani jeuri..... Ahsante kenya !!!!
@Sam99 Side by side wana wa Afrika mashariki....

Kawaida mtu akitia bidii huwa anakubalika, cha msingi ni kuaga uvivu na kujituma. Diamond anakubalika kote hadi Nigeria hata kama hawakijui Kiswahili. Lakini kikubwa ni jinsi Watanzania wenyewe wengi huwa hamumpendi jamaa, na ndio issue yenu kubwa, mna wivu sana na yeyote anayeonekana kutoka.

Ukienda Facebook, aisei matusi ambayo Diamond hukumbana nayo kutoka kwa Watanzania wenzake, yaani hadi unamhurumia. Wakati jamaa hajamkosea mtu, yeye anakazana tu kwenye maisha na bidii yake, huu wivu na chuki zenu ndio zimefanya hamtambuliki wala kusikika kwa chochote, hampokei mashujaa wenu vizuri. Hebu ona jinsi Kenya inavyotajwa duniani kote.
 
Best of all the Best comments hapa JF !!! MK254 Somo lako litamfikia MTZ aweze kujithamini na kujitambua....
Ahsante kenya
 
Mtanzania hapendi mtanzania mwenzake afanikiwe
Mtanzania hapendi masikini mwenzake
Mtanzania ana wivu kama umeendelea hata ukinunua baiskeli atalalamika
 
Kipindi hicho KAMWAMBIE ndo imetoka niliwahi kumfukuza dada wa kazi baada ya kumkuta yupo kwa sebule anaselebuka tu huo wimbo tena sauti ikiwa juu...huku jikoni akiwa kaacha mboga inaungua..Ila baada ya miezi kadhaa kupita nilielewa sababu..Ikabidi nimrudishe tu
Ulilipa faini?
 
Back
Top Bottom