PICHA:: Hii siyo Tanzania, ni Turkana Kenya #Simba #DiamondPlatinumz

PICHA:: Hii siyo Tanzania, ni Turkana Kenya #Simba #DiamondPlatinumz

Music ni sanaa inayoendana na umri. Kina Michael Jackson walivuma sana na baadae ikabaki heshima hadi alipofariki.

Kinachosumbua kwa Ali Kiba ni umri, hapo lazima kasi ya outings itapungua. Akubali katika hilo, huu ni wakati wa vijana. Ali ana miaka 35 sasa. Huu muda ulikuwa siyo wa yeye kuhangaika bali kukusanya mafao katika vitega uchumi vyake.

Bahati mbaya haikuwa hivyo, pamoja na kupigwa na umri na mahitaji mengi kwa watoto zake 7 ambao wanahitaji kwenda shule, ni vigumu kichwa cha Kiba ku accommodate mambo hayo kwa pamoja.

Ushauri, Kiba fanya kadiri uwezavyo huna sababu ya kujilinganisha na wengine utaumia.
 
Back
Top Bottom