Picha hii ya CAF inaashiria nini kwa Simba?

Picha hii ya CAF inaashiria nini kwa Simba?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Kwa wajuvi wa mambo na wale waliosoma Cuba, Je, ukitazama kwa makini picha hii unapata tafsiri gani?

20230406_121013.jpg
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????
Hebu wafananishe uwezo wa hawa wachezaji wa Sasa na hao kina matola!!
 
Moses Phiri ana hofu kuu, yaani ni kama mtu anayekiona kifo mbele yake na hana namna zaidi ya kukifata tu.
 
CAF wameanza mazoea mabaya na Simba. Ila cha kuchekesha zaidi, Phiri akipangwa ndiyo ataonyesha ubora wake kwenye huu mtanange wa Simba vs. Wydad.
 
Back
Top Bottom