KWELI Picha hii ya Lumumba ni halisi, ila imehaririwa kwa AI

KWELI Picha hii ya Lumumba ni halisi, ila imehaririwa kwa AI

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Source #1
View Source #1
Wakuu

Nimekutana na hii picha ya Patrice Lumumba, Je ni halisi?
1772782934348.png
 
Tunachokijua
Ufuatiliaji umebaini kuwa picha hii ni halisi lakini imehaririwa kwa Teknolojia ya Akili Unde.

Picha hiyo ni ya aliyekuwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakati alipokamatwa kisha kushambuliwa na kupelekea picha yake Januari 17, 1961.

Vyanzo mbalimbali vimekuwa vikitumia picha hiyo (halisi) kwa ajili ya kumzungumzia Lumumba haswa kwa siku hiyo aliyokamatwa na kuuliwa.

Lakini picha iliyowasiliswah na mdau licha ya kuwa ni halisi lakini imehaririwa kwa kutumia nyenzo AI kwa lengo la kuiboresha ikiwemo kuipa rangi na ndiyo maana ina baadgi ya mapungufu mathalani rejelea vidole vya mtu aliyeshika kamba
1773213745600-png.3556334
58231.jpg

Online Sources: Hii picha ilipigwa January 1961, katika vitongoji vya Katanga, Kongo ikionesha Patrice Lumumba akisafirishwa kama mateka na washirika wake wawili(hawapo pichani) . Baada ya vikosi vya Joseph-Desire Mobutu kumkamata Patrice Lumumba disemba 1960, siku chache badae Patrice Lumumba aliuawa, pamoja na washirika wake wawili, Maurice Mpolo na Joseph Okito, baada ya mateso ya kikatili kisha miili yao ilikatwakatwa na kuteketezwa kwenye asidi ya salfuriki(Sulphuric acid).

Hivyo picha hii ni halisi.
 
View attachment 3553476
Online Sources: Hii picha ilipigwa January 1961, katika vitongoji vya Katanga, Kongo ikionesha Patrice Lumumba akisafirishwa kama mateka na washirika wake wawili(hawapo pichani) . Baada ya vikosi vya Joseph-Desire Mobutu kumkamata Patrice Lumumba disemba 1960, siku chache badae aliuawa Patrice Lumumba aliuawa, pamoja na washirika wake wawili.
Uchambuzi mzuri sana huu mkuu
 
Picha si halisi imetengezwa kwa kutumia teknojia ya akili Unde kutokana na tukio ambalo limetokea jamhuri ya kidemokrasia ya kongo mara baada ya kukamatwa kwa Patrice lumumba mnamo mwaka 1960
 
Picha si halisi imetengezwa kwa kutumia teknojia ya akili Unde kutokana na tukio ambalo limetokea jamhuri ya kidemokrasia ya kongo mara baada ya kukamatwa kwa Patrice lumumba mnamo mwaka 1960
Toa sababu kwanini si halisi vitu gani vinaonesha sio halisi?
 
Back
Top Bottom