PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

Jengi litakuwa na gorofa 6 na sio 10 πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCLoFmwsVED/?img_index=5&igsh=MWhyZzI1dHp5ejQ3Yg==
Pili wa kupongezwa ni Samia aliyeridhia Mabadiliko ya sheria ya Ubia Ili kurahusisha uwekezaji,hao wengine ni Watendaji tuu.

Mwisho uwekezaji wa Ubia unaendelea maeneo mbalimbali ya Dar mfano NHC inaendelea na ujenzi hapo Dar.

Pia NHC inaendelea na ujenzi wa majengo ya biashara ya Ubia mjini Iringa,Arusha nk.
 
PPP inanipa raha sana
 
We unashadadia ppp Kwa kuwa hujui! Hiyo siyo mali ya nchi, Ni Mali za watu wa nje wanaokuwa wanavuna mapesa hapa Kwa muda mrefu na kupeleka kwao! Mkataba ukiisha wa miaka 100 wanabadili Jina ili kukwepa Kodi hapo Hakuna unachopata. Kama Madini na gesi wanachukua bure sembuse ppp!
 
Nchi ina ujinga sana hii PPP INGESAIDIA kupata mradi wa maana sio kajengo hako sasa hako si mtu yeyote anajenga?? Ujinga ndio laana kubwa...Ningeona kitu cha maana hii kelele ya PPP ilete treni za Trum mfano hapo Dar ndio zitembee lile eneo wanaita mwendo kasi sio huu uharo
 
Nadhani hio ni mwanzo tu ambao ni mzuri sana
 
Hongera sana Cde Kafulila
 
Nchi kama hii yenye uchumi wa 49T, kujivunia 2.5 b ni kichwkesho. Hapo kuna watu tu wanajikomba kuonekana wamefanya kazi. Halafu huo mradi si serikali anaejenga, ni wekezaji, ukute yeye anapata 25b kwa mwaka!
Usiache mbachao kwa msala upitao
 
Ujenzi wa hili ghorofa uzingatia viwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…