baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.Siyo wishful thinkung.
Tuna standards tofauti tu, wewe huijui dunia.
Wewe upo wapi kwanza unapajua kariakoo lakini..kaa kimya tu..Akili za kimasikini hizi UNAFKIRI hizo Trilioni zinafikaje kama sio kudunduliza? 2.5B kwa jengo moja ni lot of money ila I doubt serikali inapata hio hela kwenye jengo moja tu, unahitaji si Chini ya frame 400 zinazolipiwa around 2M kwa mwezi kugenerate hela hio kwenye PPP ya kariakoo.
Kikawaida kkoo Ghorofa binafsi hata 1B kwa mwaka hazifiki, la sivyo Maghorofa yasingeuzwa Bilioni 5.
Point nzima ya kuweka watu kama Kafulila na PPP ni kuongeza value, sasa unawekaje project kisomi halafu biashara iendelee kienjeji enyeji tu?Kama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.
Rent za kariakoo on average ni milioni 2 kwa frame za nje kama ni kubwa sana inafika 3-5M, frame za ndani laki 7 hadi 1.2M, unahitaji maelfu ya frame kugenerate 2.5B kwa mwezi, hakuna jengo la frame 2000 hapo.
Jambo moja nalipenda kwa Kafulila ni huu uwazi wa mambo yakeView attachment 3149286
View attachment 3149299
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 yaanza kuzaa matunda kwa Watanzania hasa baada ya kuanza kutumia marekebisho mapya ya Sheria hiyo ya mwaka 2023.
PPP kwa kumtumia mbia mzawa toka kampuni ya Tosh Logistics Limited watajenga jengo kubwa zaidi ya lile la Mlimani City lenye thamani ya TZS 36.7bn wakati matumizi yatagharimu kiasi cha TZS 13.3bn litakalokuwa na wapangaji zaidi ya 900 lenye ghorofa 10 kwenda juu.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre Bw. David Kafulila ameiambia kamati ya Bunge ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa Dar es Salaam City Council's Economic and Development Corporation (DDC) katika wakati wote wa Ujenzi wa mradi huo kila mwaka watajizolea kiasi cha TZS 2 bilioni na baada ya mradi huo kukamilika watalipwa kiasi cha TZS 2.5 bilioni kama kodi ya jengo tu bila kuhesabu kodi na shuru mbalimbali na baada ya muda wa mkataba jengo hilo litakuwa ni mali halali ya serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa Ujenzi wa mradi huo ni miongoni mwamiradi yenye mikataba bora zaidi ya uwekezaji kuwahi kushuhudiwa hapa kwenye ardhi ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameipongeza kamati hiyo ya Bunge huku akiomba ushirikiano kati ya TAMISEMI na PPP ili kwa pamoja waweze kuvuta mitaji toka sekta binafsi ili kujenga miradi yenye tija kwa Taifa ambayo itatupatia Kodi na tozo mbalimbali na hivyo kuchochea ukuaji wa Uchumi wetu huku Serikali ikiachwa ifanye miradi ile tu ambayo haina sura ya kibiashara na hivyo kuipa nafuu zaidi Serikali katika kutafuta Mikopo na misaada mbalimbali toka kwa wahisani.
Kwa akili yako kiasi gani kinapaswa kulipwa? Hata mimi naona ni ndogo ukizingatia jengo litakuwa na wapangaji 900! Kwa K/koo unit ya biashara si chini ya Tshs 1,000,000 kwa mwezi! Hili jengo lingepaswa litengeneze Tshs 900,000,000 kwa mwezi na si chini ya Tasha 10 bln kwa mwaka2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo naona kama tumepigwa sijui mzalendo Kafulila anasemaje
Salasala ile ni Shopperz Plaza sio MyfairNjoo Salasala uione Mayfair Plaza
Mji umeshahama πππππ
RIP Lau Mafuru
Shopperz Plaza ni ScanscaSalasala ile ni Shopperz Plaza sio Myfair
HujanijibuShopperz Plaza ni Scansca
Njia Panda ya Salasala ni Mayfair π
Kuhusu nini?Hujanijibu
kwahivyo wapandishe kodi za wapangaji ili wapate billio5 za mgandamizo wa kinyonyaji, right?π2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo naona kama tumepigwa sijui mzalendo Kafulila anasemaje
Hela ndogo sanaView attachment 3149286
View attachment 3149299
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 yaanza kuzaa matunda kwa Watanzania hasa baada ya kuanza kutumia marekebisho mapya ya Sheria hiyo ya mwaka 2023.
PPP kwa kumtumia mbia mzawa toka kampuni ya Tosh Logistics Limited watajenga jengo kubwa zaidi ya lile la Mlimani City lenye thamani ya TZS 36.7bn wakati matumizi yatagharimu kiasi cha TZS 13.3bn litakalokuwa na wapangaji zaidi ya 900 lenye ghorofa 10 kwenda juu.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre Bw. David Kafulila ameiambia kamati ya Bunge ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa Dar es Salaam City Council's Economic and Development Corporation (DDC) katika wakati wote wa Ujenzi wa mradi huo kila mwaka watajizolea kiasi cha TZS 2 bilioni na baada ya mradi huo kukamilika watalipwa kiasi cha TZS 2.5 bilioni kama kodi ya jengo tu bila kuhesabu kodi na shuru mbalimbali na baada ya muda wa mkataba jengo hilo litakuwa ni mali halali ya serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa Ujenzi wa mradi huo ni miongoni mwamiradi yenye mikataba bora zaidi ya uwekezaji kuwahi kushuhudiwa hapa kwenye ardhi ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameipongeza kamati hiyo ya Bunge huku akiomba ushirikiano kati ya TAMISEMI na PPP ili kwa pamoja waweze kuvuta mitaji toka sekta binafsi ili kujenga miradi yenye tija kwa Taifa ambayo itatupatia Kodi na tozo mbalimbali na hivyo kuchochea ukuaji wa Uchumi wetu huku Serikali ikiachwa ifanye miradi ile tu ambayo haina sura ya kibiashara na hivyo kuipa nafuu zaidi Serikali katika kutafuta Mikopo na misaada mbalimbali toka kwa wahisani.
OwnerKuhusu nini?
HapanaMayfair ni mali ya Mafuru?
Hiyo kazi nafikiri apewe huyu Kafulila sasaHapana
Mafuru ndiye mkuu wa PPP kwa ujumla wake
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10, toka kodi hazifiki Milioni hadi sasa hivi zinacheza milioni 2-2.5M kwa mwezi.Wewe upo wapi kwanza unapajua kariakoo lakini..kaa kimya tu..
Wawekezaji wa kimataifa DDC? na mali wanatuuzia sisi πππ this is too theoretical ...Point nzima ya kuweka watu kama Kafulila na PPP ni kuongeza value, sasa unawekaje project kisomi halafu biashara iendelee kienjeji enyeji tu?
Weka wawekezaji wa kimataifa hapo, weka international mall, weka rents za kubadilisha eneo zima livutie biashara za kimataifa tuondokane kwenye umachinga.
Tatizo hatuna watu daring wenye vision ya kuona kinachoweza kuwa, tuko stuck kuangalia kilichokuwa.
Classic problem of induction scenario.
Kwani kuna chochote kinachowezekana bila kuwa theoretical kwanza?Wawekezaji wa kimataifa DDC? na mali wanatuuzia sisi πππ this is too theoretical ...