Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

Confundido

Member
Joined
Mar 17, 2021
Posts
44
Reaction score
136
IMG_20240328_214831.jpg
 
Hayo ni mapunye au vishilingi, hapo ni hatua ya awali kabla havijawa vikubwa na vingi.

Vinaambukizwa kwa kutumia vifaa alivyotumia mgonjwa mfano mashine za kunyolea, kuvaliana nguo na mgonjwa wa hilo tatizo n.k.

Kuhusu matibabu nenda duka la dawa Kuna dawa za kupaka zinatibu hilo tatizo, ukichelewa kuvitibu vitasambaa na kua vikubwa.
 
Hayo ni mapunye au vishilingi, hapo ni hatua ya awali kabla havijawa vikubwa na vingi.
Vinaambukizwa kwa kutumia vifaa alivyotumia mgonjwa mfano mashine za kunyolea, kuvaliana nguo na mgonjwa wa hilo tatizo n.k

Kuhusu matibabu nenda duka la dawa Kuna dawa za kupaka zinatibu hilo tatizo, ukichelewa kuvitibu vitasambaa na kua vikubwa.
Asante kwa ushauri
 
Ugonjwa unaweza kuwa Ni Discoid Eczema/Discoid Dermatitis au Taenea Corporis..

Inategemea na Maelezo ya Mgonjwa..

Kinawasha?
Kilitokeaje?
Usafi?
Kuna sehemu nyingine Kipo?
Hakiwashi
Kilitokea chenyewe
Usafi Niko sawa
Ilitokea pia kwenye bega la kushoto

Hata hivyo vilipotea vyeyewe
 
Back
Top Bottom