Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

Hayo ni mapunye au vishilingi, hapo ni hatua ya awali kabla havijawa vikubwa na vingi.

Vinaambukizwa kwa kutumia vifaa alivyotumia mgonjwa mfano mashine za kunyolea, kuvaliana nguo na mgonjwa wa hilo tatizo n.k.

Kuhusu matibabu nenda duka la dawa Kuna dawa za kupaka zinatibu hilo tatizo, ukichelewa kuvitibu vitasambaa na kua vikubwa.
 
Asante kwa ushauri
 
Ugonjwa unaweza kuwa Ni Discoid Eczema/Discoid Dermatitis au Taenea Corporis..

Inategemea na Maelezo ya Mgonjwa..

Kinawasha?
Kilitokeaje?
Usafi?
Kuna sehemu nyingine Kipo?
 
Ugonjwa unaweza kuwa Ni Discoid Eczema/Discoid Dermatitis au Taenea Corporis..

Inategemea na Maelezo ya Mgonjwa..

Kinawasha?
Kilitokeaje?
Usafi?
Kuna sehemu nyingine Kipo?
Hakiwashi
Kilitokea chenyewe
Usafi Niko sawa
Ilitokea pia kwenye bega la kushoto

Hata hivyo vilipotea vyeyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…