PICHA:Hili tatizo dawa yake Ni Nini ? Msaada pls

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Naombeni msaada wenu nimepatwa na Hili tatizo mara ya kwanza nikaenda pharmacy wakanipa malt vitamin mavidonge makubwa jumla 10 Kila siku nikawa nameza kimoja tatizo likaisha nimekaa mwezi tatizo limerejea na sipendi kabisa kumeza dawa nafanyeje wakuu.

Na Hili tatizo linasababishwa na Nini wakati mwingine ulimi unauma Sana hasa wakati wa kula Hadi nakosa Raha .
IMG_20190102_192328_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada wenu nimepatwa na Hili tatizo mara ya kwanza nikaenda pharmacy wakanipa malt vitamin mavidonge makubwa jumla 10 Kila siku nikawa nameza kimoja tatizo likaisha nimekaa mwezi tatizo limerejea na sipendi kabisa kumeza dawa nafanyeje wakuu.

Na Hili tatizo linasababishwa na Nini wakati mwingine ulimi unauma Sana hasa wakati wa kula Hadi nakosa Raha .View attachment 984090

Sent using Jamii Forums mobile app
Huli mboga za majani za kutosha Wewe
Yaweza kuwa pia Ni UPUNGUFU WA VITAMIN C
 
Tumia Hydrogen peroxide mouth. Wash.
Inapatikana kwenye pharmacy zote.

Homosapiens
 
Naombeni msaada wenu nimepatwa na Hili tatizo mara ya kwanza nikaenda pharmacy wakanipa malt vitamin mavidonge makubwa jumla 10 Kila siku nikawa nameza kimoja tatizo likaisha nimekaa mwezi tatizo limerejea na sipendi kabisa kumeza dawa nafanyeje wakuu.

Na Hili tatizo linasababishwa na Nini wakati mwingine ulimi unauma Sana hasa wakati wa kula Hadi nakosa Raha .View attachment 984090

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo inawezekana kabisa ikawa ni oral thrush. Maambukizi flani hivi ya fungus.

Antifungal medications zaweza kutibu hiyo hali.

Ila, muhimu kwenda spitali.

Usizitegemee sana hizi virtual diagnostics.
 
Kwa nn unaenda pharnacy Badala ya hospital? Pharmacy wanauza dawa hospital wanatoa huduma..

sent from this unknown device
 
Nenda hospitali.
Kama ni fungus hizo dawa zinazidi kushusha tu immunity yako na fungus zitaongezeka.

Orange juice inaweza kukusaidia kwa wingi pia. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom