Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Fomu ya nini tena?
Waalimu kumbe wana hela zaidi hata ya Rais mpaka wanaamua kumchangia Rais, lakini cha kushangaza hawakomi kulalamika humu kuhusiana namaslahi maduchu na mazingira magumu ya kazi
πππππππππ
Kwahiyo ikawaje?Mpwayungu Village tayari ameshatoa Rai na wito hao watu wahurumiwe warudishiwe pesa zao. Ameweka bayana ni msukumo na ushabiki wa kisiasa Wala sio hiari au matakwa Yao.
Amewatetea sana kwenye hili jambo.
Kwahiyo ikawaje?