Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa
  1. na ladha nzuri sana
  2. nutritive sana
 
Njano na nyekundu sie kwetu bado tunayo na tunatumia shambani.
 
Ilikuwepo ya zambarau/dark blue kama sijakosea maana mie ni color blind
 
Kadhalika kulikuwepo viazi ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…