Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kuoa mkuu. Hakuna mahala kwa hapa Tanzania naweza oata sampuli za namna hii?Israel FOREVER
Ni kwa vile tu nashindwa kuelezea kwa lugha ya maandishi. Na kwa nini niandikie mate wakati wino upo? Kwani wewe hupendi ufafanuzi? Ulikimbia Biology?Acha upumbavu na nyuz za mapicha yako haya toka jana...
Itapendeza sana, mkuuNgoja niicrop moja iwe avatar yangu☺️
Awapi, sema ni kwa vile hupendi mianamke, we huoni hivyo vishudu? Ukipewa hapo hupigi mkuu?Hawa watu wako mbona kama wanaumwa nyonga
amejifunzaAcha upumbavu na nyuz za mapicha yako haya toka jana...
Ofcz nili feli bios..inaingiaje hapo baiologyNi kwa vile tu nashindwa kuelezea kwa lugha ya maandishi. Na kwa nini niandikie mate wakati wino upo? Kwani wewe hupendi ufafanuzi? Ulikimbia Biology?
Kabla mvua haijanyesha utakuwa umeshaposwa na wajuba wa jf, we iweke hiyo avatar uone 😂😂Ngoja niicrop moja iwe avatar yangu☺️
Hahaha😂Kabla mvua haijanyesha utakuwa umeshaposwa na wajuba wa jf, we iweke hiyo avatar uone 😂😂
Dogo acha shobo na watu wasiokutaka.Israel FOREVER
Dogo acha shobo na watu wasiokutaka.
We endelea na kusuuza vikongwe na kuosha sufuria.
Sawasawa dogo?