Hazina uhondo. Zaidizaidi nimeona maua yamemzunguka papa kumuondolea stressWenye uzoefu wa mambo ya huko au waliowahi kufika watupe uhondo wa hizo picha.
Najua Echolimali na akina Yoda huko sio maeneo yao.
Wenye uzoefu wa mambo ya huko au waliowahi kufika watupe uhondo wa hizo picha.
Najua Echolimali na akina Yoda huko sio maeneo yao.
Kuna zile wamevaa kama maninja umeziona
Unaweza tembea Vatican kupitia YouTube au earth map kama Bado haujapata nauli ya kufika kuleWenye uzoefu wa mambo ya huko au waliowahi kufika watupe uhondo wa hizo picha.
Najua Echolimali na akina Yoda huko sio maeneo yao.
Na mwenyewe hadindiHazina uhondo. Zaidizaidi nimeona maua yamemzunguka papa kumuondolea stress