Picha hizi kutoka Vatican zimenivutia sana, halafu zikanitia huruma. Natamani siku moja nifike huko

Wewe unajuaje wanazo siri kubwa wakati hawajasema? Kwa vile hawajaolewa na hawaishi na wanaume hivyo ni vigezo za kuwafanya tuamini ni mabikra
Siri zinaanzia utotoni.Na hujui wanapolala usiku wanajihisi vipi.
 
Wenye uzoefu wa mambo ya huko au waliowahi kufika watupe uhondo wa hizo picha.
Najua Echolimali na akina Yoda huko sio maeneo yao.
Acha kushughulika na Vatican hakuna historia yoyote ile na ukiristo Nabii yesu alitokea Middle East na asili yake sio hao wazungu wa Vatican
 
Waambie na wenyewe wakatoliki.Sijui imekuwaje wamehama Jerusalem mpaka makanisa yamebaki matupu na mayahudi wanazidi kuyafisidi.
 
Wenye uzoefu wa mambo ya huko au waliowahi kufika watupe uhondo wa hizo picha.
Najua Echolimali na akina Yoda huko sio maeneo yao.
Hata.mimi ningekuwa Pope ningewatekenya sana hao wanafata mafunzo wa mkosa nyumba aliye ishia kulala kwenye njia panda ya Damascus na Jerusalem ambaye ni Roll model wao Paulo alisema kila mchungaji anahaki ya kunywa maziwa ya zizi lake 😄 🤣
 
Wanawake wote hao walitakiwa wakaolewe huko.Wazae

Wa.ewakosesha wanaume wake wazuri kwa kwenda usista
Unajua Italy ni moja ya mataifa ambayo ina upungufu mkubwa sana wa watu kwa kufuata mafunzo batili.
 
Basi jiunge nasi utapata mara kadhaa kuliko hao 72.Kumbuka huko ni maisha ya milele 72 ni wachache sana.
Kabla ya kujiunga na nyinyi mngetupa kwanza A B C, kuhusu hao mabikira 72 kama ni wale watoto wazuri wa Kiarabu (yaani wenye ngozi ya Mtume from Dubai), au ni hawa hawa akina Asha, Jamila, Tausi, Rahma, nk tunaoishi nao huku kwa Mpalange.
 
Sifa ya huko ni kuwa unapewa kila unachopenda na kilicho bora kuliko ulivyoviacha duniani.
Na ukipewa mara moja moja unasimuliana na wenzako haa hivi vimefanana kama tulivyokuwanavyo duniani na sio sawa navyo,
Sote tunakuwa umri mmoja kama ule alioondoka nao nabii Issa a.s na sote tutazungumza lugha moja ya kiarabu.Ukipenda wale wanaofanana na uliowaona Mbagala utaletewa na utawaona ni bora kuliko wale uliowawacha duniani.
Kama ulitenda mema na ukafa ukiwa mwema basi na mke wako naye alikufa kama wewe utaungana naye huko peponi.
 
Kwa hiyo huko tukifika kila mtu ni kuongea tu Kiarabu! Wallah tena, huko ndiyo kwenyewe. 😃
 
Unazungumza bila kuingia darasani.
Hata ukipenda kuzungumza na hurulaini wako kwa lugha ya nyumbani ya kisambaa pia twataraji hutanyimwa.
Ilimradi kila unachotaka kizuri unapewa.
 
Back
Top Bottom