Picha-hizi ni baadhi ya kazi za mastaa zilizofanywa na heaven desert

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
HAMISA -.jpgKWETU FASHION POSTER-DESIGNED BY KIFESI.jpgVOTE 4 DIAMOND.jpgVOTE 4 DIAMONDD.jpgrayc foundation-by kifesi.jpgVOTE 4 VANESSA.jpgVOTE 4 DIAMOND ...jpg
Namshukuru Mungu kwa kipaji NA huu binafsi,ujuzi unaonipa fursa ya kufanya kaz na watu/celebs wakubwa wanaoamini uwezo wangu
Umependa kaz zangu??niguse 0762052850.
NB;Mnaouliza post nilizozoea kuweka,nilishasema toka awali ,
nitakuwa naweka zinazonihusu mm ,coz tarifa
nilizokuwa nawapa mlikuwa mnanibeza,so endeleen tu kuletewa story zizsizo
na uhakika za kucopy na kupaste toka kwenye mawazo ya watu wa blogs na magazeti.
@WCB 4 lifebusines card.jpg
 
Hongera.....ila hiyo niguse una maanisha nini?
 
hiki kijamaa sijui kinaumwa ugonjwa wa kushtuka na kujishtua mwenyewe!

nakumbuka ulikurupuka na kusema hutopost chochote humu, sasa umerudisha stiki zako,

btw, hongera kwa kazi nzuri japo unajitambua kidogo sana..
 
peleka hii post jukwaa la matangazo madogo madogo.... sawa heaven on desert ?
 
Last edited by a moderator:
nilishasema toka awali ,
nitakuwa naweka zinazonihusu mm ,coz tarifa
nilizokuwa nawapa mlikuwa mnanibeza,so endeleen tu kuletewa story zizsizo
na uhakika za kucopy na kupaste toka kwenye mawazo ya watu wa blogs na magazeti.

kwakuwa hizi story zina vitamin, au? or you think we can't do without your stories???
Jitambue
 
Yaan leo tu tumekuuliziaa Hod si unajua unavyopendwaa humuuu unajua kutengenezaa pichaa sana siku ya harusi yangu lazima nikutafutee sawaa HOD
 
Kipaji cha kupiga picha du,tutaletewa hadi vipaji vya kunya.

Nimeishia kucheka tu..Sasa aliye tengeneza camera sijui atasemaje 😉

Hivi vipaji vya bongo bana... kujisifu saaaana.
 
Kipaji cha kupiga picha du,tutaletewa hadi vipaji vya kunya.

Mkuu hicho ni kipaji jaribu wewe kama utaweza, kuwa best photographer in dreams za Watu na kuna ambao wanahangahika daily waweze hata kufikia alipofikia huyu jamaa lakini Hawaoni mwanga wala pa kuanzia hawajui,

Huwa nawashangaa sana Baadhi ya JF members ni wageni lakini wanawaponda sana wenzao kwa sababu tuu kuna ma Pro- JF member(wakongwe) wanafanya hivyo na bila Kujua ni kwa sababu gani ma Pro wanafanya hivyo, msifate mkumbo hawa sana history way back

Sent from my iPad using JamiiForums
 
View attachment 150721View attachment 150722View attachment 150726View attachment 150727View attachment 150728View attachment 150730View attachment 150733
Namshukuru Mungu kwa kipaji NA huu binafsi,ujuzi unaonipa fursa ya kufanya kaz na watu/celebs wakubwa wanaoamini uwezo wangu
Umependa kaz zangu??niguse 0762052850.
NB;Mnaouliza post nilizozoea kuweka,nilishasema toka awali ,
nitakuwa naweka zinazonihusu mm ,coz tarifa
nilizokuwa nawapa mlikuwa mnanibeza,so endeleen tu kuletewa story zizsizo
na uhakika za kucopy na kupaste toka kwenye mawazo ya watu wa blogs na magazeti.
@WCB 4 lifeView attachment 150734

Mkuu hivi kama ungeweka tu hii thread bila kulalamika na kusema watu waendelee kupata habar zisizo na uhakika ungekufa????Je Inamaana ni wewe tu mwenye habari sahihi humu?Mmmh yani ili ni tusi kubwa kwa team yetu tunayoiaminia iliyopo humu kutupa habari.
Wewe ni mwanaume uache ku behave kama mwanamke mdogo wangu!!Yea wewe ni Mpiga picha mzuri keep it u, ila haya maneno yako uyaache maana binafsi yanaanza kunifanya nikuhisi una matatizo ki Hormones.
 
Mkuu hicho ni kipaji jaribu wewe kama utaweza, kuwa best photographer in dreams za Watu na kuna ambao wanahangahika daily waweze hata kufikia alipofikia huyu jamaa lakini Hawaoni mwanga wala pa kuanzia hawajui,

Huwa nawashangaa sana Baadhi ya JF members ni wageni lakini wanawaponda sana wenzao kwa sababu tuu kuna ma Pro- JF member(wakongwe) wanafanya hivyo na bila Kujua ni kwa sababu gani ma Pro wanafanya hivyo, msifate mkumbo hawa sana history way back

Sent from my iPad using JamiiForums

Nashukuru kwa darasa lako, nilikuwa sifahamu maana nilikuwa napigaga tu na watu kunisifia.Nashukuru Mungu kwa kunipa nami kipaji.
 
kazi unaiweza kijana...kaza buti utafika mbali.
 
Mkuu hicho ni kipaji jaribu wewe kama utaweza, kuwa best photographer in dreams za Watu na kuna ambao wanahangahika daily waweze hata kufikia alipofikia huyu jamaa lakini Hawaoni mwanga wala pa kuanzia hawajui,

Huwa nawashangaa sana Baadhi ya JF members ni wageni lakini wanawaponda sana wenzao kwa sababu tuu kuna ma Pro- JF member(wakongwe) wanafanya hivyo na bila Kujua ni kwa sababu gani ma Pro wanafanya hivyo, msifate mkumbo hawa sana history way back

Sent from my iPad using JamiiForums

we pimbi na wewe unatuvuruga, tunachomwambia ni kuwa hili jukwaa ni la watu mashuhuri(celeb) sasa yeye kujianzishia uzi kwenye jukwaa la maceleb tumweleweje? ushaskia star yeyote akijianzishia uzi humu?
 
Back
Top Bottom