Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya

Na vile waTz hujaa kwa hospitali za Kenya 😂 😂
LOL Em tupe ushahidi
Gharama za kutibiwa Kenya ni sawa na kununua ndege

Tanzania gharama ni nafuu sana na kuna magonjwa mengi yanatibiwa bure, ugonjwa kama saratani Tanzania unatibiwa bure wakati huko Kenya ni ghali sana

Pia bei ya dawa Tanzania ni nafuu zaidi sababu serikali inafanya direct sourcing through MSD kutoka kwa viwanda vya dawa wakati Kenya mnanunua from the middlemen, mpaka ifike kwa final consumer imekua tripled the price Tanzania tunapata.
 
Hehee, we've got the best teacher in the world and also the best in Africa.
Our research body-KEMRI was ranked as the best in Africa.
We have the 14th fastest internet speed in Africa.

What has Tanzania achieved so far?
Jibu ulichoulizwa sio kubadilisha gear angani.
 



KWA HIYO WAKENYA WOTE MMESHINDWA KUNIJIBU SUALI LANGU?
AU NDO TUSEME HAMNA UTARATIBU WA HEALTH CARE KWA INFORMAL SECTOR?
 
Wacha ujinga. Benjamin Mkapa hospital ipo ndani ya Dodoma university? Jibu swali ulivyoulizwa, usijiundie swali lako.
Ipo ndani ya University of Dodoma bwege wewe..kamma hujui kitu nyamaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…