Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya

Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya

Na vile waTz hujaa kwa hospitali za Kenya 😂 😂
LOL Em tupe ushahidi
Gharama za kutibiwa Kenya ni sawa na kununua ndege

Tanzania gharama ni nafuu sana na kuna magonjwa mengi yanatibiwa bure, ugonjwa kama saratani Tanzania unatibiwa bure wakati huko Kenya ni ghali sana

Pia bei ya dawa Tanzania ni nafuu zaidi sababu serikali inafanya direct sourcing through MSD kutoka kwa viwanda vya dawa wakati Kenya mnanunua from the middlemen, mpaka ifike kwa final consumer imekua tripled the price Tanzania tunapata.
 
Sorry,this one looks fake
yes it is true, it looks lie toy.
Mloganzila+pic.jpg
mps_claim_tanzania_muhas_project_risks_being_while_elephant_h3493_58385.jpg

m42.jpg
m42.jpg
D-Z79fuXsAcFl19.jpg
 
Hehee, we've got the best teacher in the world and also the best in Africa.
Our research body-KEMRI was ranked as the best in Africa.
We have the 14th fastest internet speed in Africa.

What has Tanzania achieved so far?
Jibu ulichoulizwa sio kubadilisha gear angani.
 
I am very much interested to know availability of medical insurance services in Kenya to the normal wananchi. I believe there are those sponsored by private / Govenment insurance.

Kwa mfano, hapa Tanzania...kuna hawa NHIF, kwa Mtanzania yeyote yule under 18yrs analipia TZS 50,400 ($ 21.8) tu anakuwa na access ya huduma za afya kokote nchini na katika hospital kubwa yeyote nchini.
Je Kenya do you have such service kwa jamii au ni hadi mtu awe kwy formal system? How easy mtu wa kipato cha chini anaweza access huduma za afya?

And then baada ya hapo individuals can have access to health care kwa kusubscribe kwy mifuko hii ya afya na akapata huduma za matibabu vile vile;

18 to 35 yrs ni TZS 190,000
35 to 59 yrs ni TZS 240,000
Above 60yrs ni TZS 360,000

CAN SOMEONE SHARE WHATS IS AVAILABLE in Kenya to the normal mwananchi?


Ki ukweli, aliyeweka hii 50400 kwa wenye umri chini ya 18 Mungu ambariki sana. Imefanya tutibu wanetu kwa gharama za chini kabisa. Hii ndio maana ya Serikali kuwajali wananchi wake.



KWA HIYO WAKENYA WOTE MMESHINDWA KUNIJIBU SUALI LANGU?
AU NDO TUSEME HAMNA UTARATIBU WA HEALTH CARE KWA INFORMAL SECTOR?
 
Back
Top Bottom