Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya

hongereni sana majirani
 
Google Is your friend! But let me give you a sample

Machakos County









Kisii County







Mombasa County









These are not National Hospitals, these are hospitals run and managed by County Governments. Kakamega County Government is also building a new ksh 6 Billion county referral hospital. Find below the render and building progress for the new Kakamega County Hospital.
 

Attachments

  • 1572437183111.png
    20.8 KB · Views: 2
  • 1572437601614.png
    23.7 KB · Views: 2
  • 1572437697454.png
    20.8 KB · Views: 2
Mjinga huyu...analeta mashine ambazo zimetapakaa katika hospitali zote za county...mpka turkana, anakuja na vipicha vya hospitali tano hapa
You are showing equipment that is available in all Kenyan county government referral hospitals (48 in number). Our National referral hospitals and private hospitals will give you a headache then
 
Hta usijisumbue bro...
 
Ni hatua mmepiga hongereni
 
Would you have said the same thing if it was Kenya? Hatungeambiwa vile tunalamba matako ya wazungu?
 
I hope this simple picture will answer all your questions

 
Haya ndio maendeleo.. sio hayo mandege yenu..
 
Anauliza very ordinary questions using so many words in a very long, boring post

Unajua binadamu hatupo sawa...na hata uelewa wetu ni tofauti. Kama wewe upo smart kwa nini usinieleweshe tu? Kwani utapungukiwa kitu?

Haya nakuomba unijibu pls kwa mkenya under 18 yrs analipa sh ngapi kuwa na hizo medical insurance? Lengo langu ni kutaka kujua access ya huduma hizi za medical insurance iko inapatikana kwa urahisi na namna gani kwa wananchi wote wa kawaida kenya.

Categories of NHIF Members ambazo nataka kujua gharama kwa Kenya ikoje ni hizi 2 tu;

- Private individuals (with no employers/self-employed) ambazo bei zake nilikupo kwy post ya Mwanzo

- TOTO Afya Kadi for children under 18 years ambayo ndo hii tunawalipia Tsh 50400.
 
Mtoto chini ya 18 years anaruhusiwa kutumia card ya wazazi wake halipiwi kando, Kwa wale unemployed/ self employed ni Mia tano monthly ,kama mke au mume ana kadi ya nhif itatumika Kwa familia nzima hadi Kwa watoto Bora wawe chini ya 18 years,halafu pia **** bima tofauti za matibabu unaweza ukachagua uipendayo kulingana na uwezo wako.
 

Asante mkuu, kwa hiyo kama mtu ni self-employed/unemployed na ana mke na watoto 4 akajisubscribe nhif kwa gharama ya ksh 500/month, hiyo card ya baba itacover kwa watoto wote 4 na mkewe pia? If yes then this is so cool and very much affordable maana 500×12×20 ni kama Tsh 120,000 hivi.

Na iwapo watoto wapo mbali/mashuleni inamaana hiyo card ya baba inatolewa copy nyingi ili kila mwanafamilia awe nayo? Authentification inafanyikaje hapo kuhakiki hakika ni mlengwa hasa?
Na kwa gharama hiyo unaaccess direct to any referal hospital in ke?

Thanks kunijuza...
 
Unapoenda kujisajili Kwa huduma ya NHIF unaandika majina ya wale wote ambao watanufaika , watoto na mke, Hio kadi wakati unaitumia kulipa wakiieka Kwa system inaonesha majina ya beneficiaries wote , Mtoto hata kama yupo shulen kama ni ugonjwa utahitaji uwepo wa Mzazi lakini kama ni ugonjwa wa kawaida tu shule hugharamia maana unapolipa karo Kwa hio Karo zipo pesa za matibabu pia wapo wanafunzi ambao wazazi wao hawapo kwenye huduma ya NHIF serikali imehakikisha imewasajili wote Kwa huduma ya NHIF .
 
I hope this simple picture will answer all your questions

View attachment 1249382
Mbona hata huku yapo mengi tu, saivi NHIF imeacha kujenga Majengo, inajenga viwanda vya dawa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…