Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
tena sie miradi yetu nje ya Dar! Simiyu na Mbeya!Mbona hata huku yapo mengi tu, saivi NHIF imeacha kujenga Majengo, inajenga viwanda vya dawa
RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA NHIF TOWER MKOANI MBEYA - Matokeo ChanyA+
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wamatokeochanya.co.tz
NHIF kujenga kiwanda
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeonyesha utayari wa kujenga kiwanda cha kutengeneza bandeji na dripu mkoani Simiyu.www.mwananchi.co.tz
tena sie miradi yetu nje ya Dar! Simiyu na Mbeya!
Hujaelewa kabisa dhamira yangu ya kumjibu huyo mtu wenu kutumia picha. Ungeelewa hungesema hayaMbona hata huku yapo mengi tu, saivi NHIF imeacha kujenga Majengo, inajenga viwanda vya dawa
RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA NHIF TOWER MKOANI MBEYA - Matokeo ChanyA+
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wamatokeochanya.co.tz
NHIF kujenga kiwanda
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeonyesha utayari wa kujenga kiwanda cha kutengeneza bandeji na dripu mkoani Simiyu.www.mwananchi.co.tz
Endelea kusoma blogs kakaIs it this hospital that we are discussing?
Ksh1.6 Billion Chinese Loan That's Troubling Kenyatta University
Kenyatta University is in trouble over a Ksh1.6 Billion Chinese loan that has grounded the operations of the...www.kenyans.co.ke
Hujaelewa kabisa dhamira yangu ya kumjibu huyo mtu wenu kutumia picha. Ungeelewa hungesema haya
Google is your friend. Hapo Mwanzo ulikuwa unashuku kama Kenya kuna hata Huduma ya NHIF! This is outrageous. Why should I engage a pre-conditioned mind like yours?Unajua binadamu hatupo sawa...na hata uelewa wetu ni tofauti. Kama wewe upo smart kwa nini usinieleweshe tu? Kwani utapungukiwa kitu?
Haya nakuomba unijibu pls kwa mkenya under 18 yrs analipa sh ngapi kuwa na hizo medical insurance? Lengo langu ni kutaka kujua access ya huduma hizi za medical insurance iko inapatikana kwa urahisi na namna gani kwa wananchi wote wa kawaida kenya.
Categories of NHIF Members ambazo nataka kujua gharama kwa Kenya ikoje ni hizi 2 tu;
- Private individuals (with no employers/self-employed) ambazo bei zake nilikupo kwy post ya Mwanzo
- TOTO Afya Kadi for children under 18 years ambayo ndo hii tunawalipia Tsh 50400.
Bado hujanielewa na pengine hutanielewa kabisa. Can you remember where you started from? Refer to your earlier post which I replied to using that picture then maybe, just maybe you'll understand why I replied the way I didWamekujibu sawa kabisa wala usione vibaya.
Mie niliuliza subscription packages zinazopatikana kwa individuals (self employed na unemployed) pia kwa watu chini ya miaka 18...wewe ukaniwekea picture ya jengo for what?
Kama ni majengo ndo maana wataalam wenzio wemekuwekea projects zaidi za NHIF TZ.
Sometime tujifunze kuwa na uvumilivu kwani hatupo sawa...ila kujiweka much know wabongo wanakushusha vizuri tu.
Google is your friend. Hapo Mwanzo ulikuwa unashuku kama Kenya kuna hata Huduma ya NHIF! This is outrageous. Why should I engage a pre-conditioned mind like yours?
I hope majibu ulushapewa hapo juu. Ukitaka maelezo zaidi, uko huru kuulizaOhhhh noo look u!!! Mie sikuwa mbona na mawazo yako hayo? Why should I doubt kama kenya kuna huduma za nhif? Public insurer sikujua kama inaitwa nhif pia ila nilijua ipo kwa sbb najua private kama jubilee na wengine.
Niliingia kwenye details zaidi nikiomba kujibiwa gharama ya packages (medical insurance) kwa informal sector. Kwa sababu najua wafanyakazi ni rahisi kuwa nayo ndo maana nikabase kwy watu waliojiajiri, wasiojiajiri na walio chini ya 18.
So now I know hukuelewa nachouliza ukajibu kwa picha. Sina na neno na wewe uwe na amani mtumishi.
Mbona jengo bado mchoro? Leta picha halisi!Google Is your friend! But let me give you a sample
Machakos County
View attachment 1248959
View attachment 1248960
View attachment 1248961
View attachment 1248963
View attachment 1248964
View attachment 1248965
View attachment 1248966
Kisii County
View attachment 1248968
View attachment 1248970
View attachment 1248972
View attachment 1248973
Mombasa County
View attachment 1248977
View attachment 1248978
View attachment 1248979
View attachment 1248982
View attachment 1248984
These are not National Hospitals, these are hospitals run and managed by County Governments. Kakamega County Government is also building a new ksh 6 Billion county referral hospital. Find below the render and building progress for the new Kakamega County Hospital.
View attachment 1248988
Hata mimi nashangaa huko Lokichar na North eastern mbona hamna facility kama hii?Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children Ummy Mwalimu said here on Sunday that the decision has already been made and plans are underway to kick off the project.Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children Ummy Mwalimu.
halafu hii taasisi tayari inapanuliwa!
Kwa Afrika kwenye sekta ya moyo ni Afrika kusini tuu ndiyo wanaotushinda.