Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Kama ni hivyo wangesema watu milioni 60 wakijumuisha TZ nzima maana kuna siku pia mtu wa Tandahimba akaenda CHATTLE na akapata huduma.
Kuna utaratibu bwashee.

Nyie Chadema na sera yenu ya majimbo sidhani kama mchungaji Msigwa anahudumia hadi Marangu!!.....ni mfano tu bwashee.
 
Ya kanda ya ziwa!

Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara

Lakini hata Tabora na Kigoma wanakaribishwa!
Acheni upumbavu nyie watu! Yaani nitoke Simiyu, Mara, Shinyanga, Tabora eti niende Chato wakati hapa katikati kuna hospital ya Rufaa ya Bugando? Tuheshimiane Mwamba, nyoko kabisa!
 
Acheni upumbavu nyie watu! Yaani nitoe Simiyu, Mara, Shinyanga, Tabora eti niende Chato wakati hapa katikati kuna hospital ya Rufaa ya Bugando? Tuheshimane Mwamba nyoko kabisa!
Hata Mwananyamala ni hospitali ya Rufaa lakini watu wanatoka Mwenge wanaenda Muhimbili.
 

Hawa kina johnthebaptist wanafanya propaganda za kupitiliza na bado ataitetea kuwa habari yake ni sahihi.
 
Nahamishia business huko.. inaelekea TRA hawatozi kodi huko
 
Tunawalisha samaki nchi nzima, tunawalisha dagaa nchi nzima, tunawapa madini Sasa tusipowawekea mazingira mazuri Ili mje kuchukua mizigo na biashara kwa uzuri mnataka mkija mteseke? Na mkiumwa mkose hospital, Mimi nimependa style hii ya maendeleo Sasa waliokimbia mikoa yao kwenda kukaa dar bila shughuli ya muhimu Sasa tunawatanya mrudi mikoani mkajinufaishe mapema.
 
Huko Mobutu alipokea viongozi pia .Ndege zilitua moja kwa moja Gbadolite air port .Huko alijenga viwanda ,hôtel n.k.Yaani kama Meko tu.Magufuli ni reflection ya Mobutu kabisa.
Nikikumbuka ulivyokuwa unampenda na kumkubali kisha nikiona unavyomdisi sahivi nabaki nacheka tu.
 
Enzi ya Kikwete IFM walianza kujenga campus nyingine huko Msata kwani walihitaji sehemu kubwa zaidi; sasa toka mkwere kaondoka sijui ile campus inaendelea kujengwa?
Msata inaungana na Dar soon,
Kwa campus ni sahihi kuwa nje ya mji
 
Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18....
Vipi kuhusu Bugando? Itafungwa?

Kanda ya ziwa tayari inayo hospitali ya Bugando, Mwanza.

Kwanini rasilimali hii haijaelekezwa kwenye kanda zisizokuwa na hospitali za rufaa za kanda? Kanda ya kusini (Lindi, Mtwara, Ruvuma) na kanda ya magharibi (Kigoma, Katavi, Rukwa) mbona hazina hospitali za rufaa, kwanini hazijapewa kipaumbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…