johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika.
Hongereni akina Upendo Peneza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.
Hakika maneno mazuri na TUNDUIZI..Miaka sio mingi tutaelewana tuView attachment 1675087
Mkuu umeuliza swali ambalo nilitaka kujuamikoa hiyo ni ipi?
Mkuu hii hospital inavifaa vya kufa mtu ila watumishi naona bado wachache,Dodoma ipo ya Benjamin mkapa maeneo ya UDOM.. kuhusu huduma zake sijui
Umeambiwa itahudumia takribani watu milioni 18!
Kuna tofauti kati ya watu na wagonjwa bwashee!
Bugando siyo hospital ya serikali! Ni mali ya Tanzania Episcopal Conference of the Catholic Bishops. Hivyo hiyo hospiyali ya Chato, ndiyo itakuwa hospitali kubwa sana kanda ya ziwa na nchi za Rwanda na Burundi! Tushangiliehiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.
Tumechelewa sana.....Mtu kwao, machumi ni asubuhi
Kumbe wanaChato si watanzania kustahili kupata hospitali ya RUFAA eee?!!!Napendekeza chato iwe jamhuri
Hutaenda mwenyewe utapelekwa! Ukizindukana utajikuta Chato!Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Kumbe wanaChato si watanzania kustahili kupata hospitali ya RUFAA eee?!!!Napendekeza chato iwe jamhuri
🤣🤣👍Hutaenda mwenyewe utapelekwa! Ukizindukana utajikuta Chato!
hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.
Ile Bugando sio hospital ya Rufaa?Ya kanda ya ziwa!
Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara
Lakini hata Tabora na Kigoma wanakaribishwa!
Imeingia ubia na serikali.Bugando siyo hospital ya serikali! Ni mali ya Tanzania Episcopal Conference of the Catholic Bishops. Hivyo hiyo hospiyali ya Chato, ndiyo itakuwa hospitali kubwa sana kanda ya ziwa na nchi za Rwanda na Burundi! Tushangilie
Charity begins at HomeKwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...
Hospital zote za dini hivyo hivyoImeingia ubia na serikali.
Hao watu milioni 18 hawataumwa kwa pamoja bwashee.Kwani hospital wanahudimia watu wazima? Si wanahudumia wagonjwa(Patients)? Hao watu mil 18 ambao sio wagonjwa ....
Hao watu milioni 18 hawataumwa kwa pamoja bwashee.
Ila kila atayeumwa miongoni mwao ataenda kutibiwa kule!